MEFADA Tanzania

MEFADA Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MEFADA Tanzania, Community Organization, kisutu, Dar es Salaam.

MEFADA wakishiriki siku ya Kupinga Dawa za Kulevya, Arusha 2023
27/06/2023

MEFADA wakishiriki siku ya Kupinga Dawa za Kulevya, Arusha 2023

MEFADA kazini, Dodoma na Dar es salaam katika vipindi vya mabadiliko ya tabia
17/06/2023

MEFADA kazini, Dodoma na Dar es salaam katika vipindi vya mabadiliko ya tabia

25/05/2023

MEFADA staffs, wakifanya usafi kwenye jamii.

Harakati zinaendelea!!!!Tunawatakia Aid El Fitr njema.Taifa Bora Bila Dawa za Kulevya.
21/04/2023

Harakati zinaendelea!!!!
Tunawatakia Aid El Fitr njema.
Taifa Bora Bila Dawa za Kulevya.

Karibu CG Mpya
24/03/2023

Karibu CG Mpya

Today, The World TB Day 24th March 2023. Yes! We Can End TB.
24/03/2023

Today, The World TB Day 24th March 2023.
Yes! We Can End TB.

Elimu inaendelea mashuleni. Timu ya MEFADA ikiwa inaendelea na vita dhidi ya Dawa za Kulevya.
15/02/2023

Elimu inaendelea mashuleni. Timu ya MEFADA ikiwa inaendelea na vita dhidi ya Dawa za Kulevya.

Elimu Kwa vijana ikitolewa mashuleni.
08/11/2022

Elimu Kwa vijana ikitolewa mashuleni.

Elimu ya madhara yatokanayo na matumizi ya Dawa za kulevya ikitolewa na MEFADA TZ katika shule ya sekondari Makongo Juu.
25/10/2022

Elimu ya madhara yatokanayo na matumizi ya Dawa za kulevya ikitolewa na MEFADA TZ katika shule ya sekondari Makongo Juu.

25/10/2022

Community Outreach Trainer akitoa elimu kwenye maafali ya kidato cha nne, Makongo Juu Sekondari. Ijumaa tarehe 21st October 2022.

Elimu ikitolewa Kambangwa Secondary School kuhusu MADHARA yatokanayo na matumizi ya Dawa za kulevya. Tulianzisha club na...
11/10/2022

Elimu ikitolewa Kambangwa Secondary School kuhusu MADHARA yatokanayo na matumizi ya Dawa za kulevya. Tulianzisha club na walikwenda kwenye kongamano na kupata tuzo ya UWEZO AWARD 2019.

06/10/2022

Tupo kwenye wiki ya afya ya akili. Tufanye kitu sote Kwa pamoja kuboresha afya ya akili. Tukutane Kwa pamoja kwenye KONGAMANO LA AFYA YA AKILI tarehe 10th October 2022, ukumbi wa JKIC.
MEFADA tutakuwepo.

Address

Kisutu
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MEFADA Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to MEFADA Tanzania:

Share