Empowering Women and Adolescent Girl's Tanzania

Empowering Women and Adolescent Girl's Tanzania Shughuli Zetu
i. Usawa wa Kijinsia, Haki za Binadamu, Kupinga Ukatili wa Kijinsia (Gender Equality, Human,Women and Children Rights PVAW/G, PVAC)
ii. vii.

Empowering Women and Adolescent Girl's Tanzania (EWAGITA Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) linalojihusisha na harakati za kumwezesha na kumjengea uwezo mwanamke, kijana, binti na watoto wa k**e kufikia malengo yake Kujiinua na kupata fursa za Uchumi kwa vijana na wanawake(Women Economic Empowerment & Financial Literacy)
iii. Kutetea Watoto dhidi ya Unyanyasaji na Ukatili( Advocacy on

Children Rights and Violence Prevention)
iv. Kuwajengea uwezo Mabinti na Vijana katika stadi za mbalimbali za maisha ikiwemo Afya, Elimu, Haki, Kujiajiri na vipato halali( Life Skills on SRHR, Education, Entreprenuership skills)
v. Kushiriki katika tafiti mbalimbali zenye kuleta tija katika kumsaidia mwanamke
vi. Kutafsiri nyenzo, tafiti, sera, sheria,zitakazotumiwa katika kuleta fursa au kukusanya taarifa za wanawake na mabinti na vijana. Kushiriki katika utetezi na uchechefuzi wa masuala ya wasichana, wanawake,watoto, vijana katika ngazi mbalimbali

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255621113774

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Empowering Women and Adolescent Girl's Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Empowering Women and Adolescent Girl's Tanzania:

Share