Olic-Jetajema

Olic-Jetajema Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Olic-Jetajema, Nonprofit Organization, Dar es Salaam.

Falimia na huduma
28/01/2026

Falimia na huduma

28/01/2026
Karibu kwenye Olic-Jetajema ( Jenga Tabia Jenga Mahusiano)Ikiwa siku kwa Siku unajiuliza :" Kwanini magongano haishi kwe...
18/12/2025

Karibu kwenye Olic-Jetajema ( Jenga Tabia Jenga Mahusiano)

Ikiwa siku kwa Siku unajiuliza :
" Kwanini magongano haishi kwenye ndowa yangu?" ? Kwanini siku kwa Siku migogoro haiishi kwenye Mahusiano yangu?"

Je, shida ni mimi? Ao ni mwenza wangu?
Yawezekana hujawai pata furaha ulio itajaria kwenye Mahusiano na umeimia kiasi kikubwa bakiyana kuchukuwa maanuzi ya kuachana.

Kuna suliisho halisi;

Olic-Jetajema
Inakualika kwenye Mafundisho ya : Kujenga Mahusiano bora,
Kujuwa namna ya ku dhibiti hisiya .

Kuwa na mawasiliano yenye Amani.

Na kwasasa ,tuna Mafundisho: " TABIA K**A CHANZO CHA MIGOGORO KWENYE MAHUSIANO/NDOA NA DAWA YAKE".

shiriki SoMo Hilo ,ponya Mahusiano yako na NDOA yako.
+255790532872.
Jiunge nasi kwenye Whatsapp group kwa kutumia number hip hapo juu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Olic-Jetajema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share