Jalsa Salana Tanzania

Jalsa Salana Tanzania This is a page of Ahmadiyya Muslim Jamaat's Annual convention in Tanzania also known as Jalsasalana alislam.org
ahmadiyyatz.org

𝐓𝐀𝐀𝐑𝐈𝐅𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐒𝐈𝐁𝐀𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐭𝐢𝐤𝐨 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐉𝐚𝐦𝐚𝐚𝐭 𝐢𝐦𝐞𝐨𝐧𝐝𝐨𝐤𝐞𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐌𝐰𝐥. 𝐌𝐮𝐡𝐚𝐦𝐦𝐚𝐝 𝐘𝐚𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐒𝐚𝐡𝐢𝐛, 𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚 𝐉𝐚𝐦𝐚𝐚𝐭 𝐧𝐚 𝐦𝐝𝐚𝐮 𝐦𝐮𝐡𝐢𝐦...
15/12/2025

𝐓𝐀𝐀𝐑𝐈𝐅𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐒𝐈𝐁𝐀

𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐭𝐢𝐤𝐨 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐉𝐚𝐦𝐚𝐚𝐭 𝐢𝐦𝐞𝐨𝐧𝐝𝐨𝐤𝐞𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐌𝐰𝐥. 𝐌𝐮𝐡𝐚𝐦𝐦𝐚𝐝 𝐘𝐚𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐒𝐚𝐡𝐢𝐛, 𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚 𝐉𝐚𝐦𝐚𝐚𝐭 𝐧𝐚 𝐦𝐝𝐚𝐮 𝐦𝐮𝐡𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚 𝐉𝐚𝐥𝐬𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐚𝐧𝐚 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚.

𝐈𝐧𝐧𝐚 𝐥𝐢𝐥𝐥𝐚𝐡𝐢 𝐰𝐚 𝐢𝐧𝐧𝐚 𝐢𝐥𝐚𝐲𝐡𝐢 𝐫𝐚𝐣𝐢‘𝐮𝐧.

𝐓𝐮𝐧𝐚𝐦𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐌𝐭𝐮𝐤𝐮𝐟𝐮 𝐚𝐥𝐢𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐢𝐞 𝐤𝐚𝐛𝐮𝐫𝐢 𝐥𝐚𝐤𝐞 𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐮𝐫𝐮 𝐘𝐚𝐤𝐞, 𝐚𝐦𝐬𝐚𝐦𝐞𝐡𝐞, 𝐚𝐦𝐩𝐞 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐦𝐞𝐦𝐚 𝐏𝐞𝐩𝐨𝐧𝐢, 𝐧𝐚 𝐚𝐰𝐚𝐣𝐚𝐚𝐥𝐢𝐞 𝐟𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚, 𝐧𝐝𝐮𝐠𝐮 𝐧𝐚 𝐉𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐬𝐮𝐛𝐢𝐫𝐚 𝐧𝐚 𝐟𝐚𝐫𝐚𝐣𝐚.
𝐀𝐦𝐢𝐧.

NB: Taarifa ya Mazishi InshaAllah itakujia hiv karibuni baada ya Mipango kukamilika..

23/10/2025

Naib Amir wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania
Al-Hajji Sheikh Abdulrahman Mohammed Ame
akielezea wajibu wa mume
Mume anapaswa kushiriki katika usimamizi wa majukumu ya Nyumbani na Usaidizi kwa mke wake

22/10/2025

Sheikh Asif
Msimamizi MTA Amri Abedi Studio Tanzania
Akieleza Juu ya Haki ya Mdaiwa na Mdai sawa na Mfano Bora kutoka kwa Mtume Muhammad (s.a.w)

21/10/2025

Sheikh Shahab Ahmad
Sheikh wa Kanda Ya kusini (Lindi na Mtwara)
Kuhusu Mtume Muhammad (s.a.w) kuwa mfano bora

09/10/2025
06/10/2025

“Mke anapaswa kutunza faraja ya mume wake, kuwa mtiifu kwa mumewe, kumpa heshima
inayostahili na daima kuzingatia hisia zake”

Al Hajj Sheikh AbdulRahman Mohammed Ame

03/10/2025

Naib Amir wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania
Al-Hajj Sheikh Abdulrahman AMe
akielezea Juu ya Maana Halisi ya neno Handsome 😊

02/10/2025

Naib Amir Ahmadiyya Muslim Jamat Tanzania
Al-Hajji Sheikh Abdulrahman Mohammed Ame
Kuhusu Jinsi ya kuishi kwa wanaume walio na wake zao

02/10/2025

Naib Amir Ahmadiyya Muslim Jamat Tanzania
Al-Hajji Sheikh Abdulrahman Mohammed Ame
Kuhusu Wajibu wa mume kwa Mkewe

30/09/2025

Dr Swaleh Kitabu Pazi
Sadr Ansarullah Ahmadiyya Tanzania na Mkuu wa Idara Kitengo cha Magonjwa ya Ini na Mfumo wa chakula

29/09/2025

Kipindi cah maswali na majibu wakati wa Jalsa Salana 2025

HUDUMA YA FYA​"Allah Akulipeni heri kwa kujitolea kwenu! Tumeona moyo wenu wa huruma na ujasiri. Wajibu wenu wa kujitole...
29/09/2025

HUDUMA YA FYA

​"Allah Akulipeni heri kwa kujitolea kwenu! Tumeona moyo wenu wa huruma na ujasiri. Wajibu wenu wa kujitolea kuimarisha afya za wageni ni Amana kubwa mliyoitekeleza kwa uaminifu. Hakika miongoni mwa watu bora ni wale wenye faida kwa watu wengine. Kazi nzuri sana, wataalamu wetu!"

Address

Dar Es Salaam
11105MCHAFUKOGE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jalsa Salana Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Jalsa Salana Tanzania:

Share