Tanzania Young People Empowerment Initiatives

Tanzania Young People Empowerment Initiatives OUR VISION : “ To empower and influence the current young generation for the betterment of their life and nation”

.
01/08/2023

.

Mwakilishi wetu  (katikati) katika Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Serikali Dar es Salaam-2023.
28/07/2023

Mwakilishi wetu (katikati) katika Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Serikali Dar es Salaam-2023.

Katika mjadala wa kwanza katika Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Serikali Dar es Salaam—2023, ndugu  kutoka  alizi...
28/07/2023

Katika mjadala wa kwanza katika Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Serikali Dar es Salaam—2023, ndugu kutoka aliziwakilisha NGOs mkoa wa Dar es Salaam kuwasilisha changamoto wanazozipata kwenye masuala mazima ya kodi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akifungua rasmi Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Serikali Dar ...
28/07/2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akifungua rasmi Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Serikali Dar es Salaam-2023 lililofanyika katika Ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam tarehe 28—29 Julai 2023.

TYPEI tumeshiriki mkutano huu na tumeibeba kauli mbiu kuu ya "Mashirika Yetu, Maadili Yetu, Taifa Letu" kuendelea kutumika kuwajengea uwezo vijana wa Tanzania katika nyanja mbalimbali kwa maendeleo ya Taifa letu la Tanzania.

Tarehe 28—29 Julai, 2023 tulipata nafasi ya kipekee kushiriki karika Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Serikali Dar...
28/07/2023

Tarehe 28—29 Julai, 2023 tulipata nafasi ya kipekee kushiriki karika Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Serikali Dar es Salaam-2023 lililokuwa na kauli mbiu ya "Mashirika Yetu, Maadili Yetu, Taifa Letu".

TYPEI, tutaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuwawezesha vijana

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Young People Empowerment Initiatives posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share