Reach Out Tanzania

Reach Out Tanzania Youth-Led Organization promoting Civil and political rights in Tanzania Reach Out Tanzania (ROT)

28/10/2025
Jana tarehe 24/09/2025 Askofu Stephen Munga amelazwa kwenye Nyumba yake ya milele.Askofu Dkt Stephen Munga amekuwa Mwanz...
25/09/2025

Jana tarehe 24/09/2025 Askofu Stephen Munga amelazwa kwenye Nyumba yake ya milele.

Askofu Dkt Stephen Munga amekuwa Mwanzilishi mwenza na Mjumbe wa Bodi wa Reach Out Tanzania toka lilivyo anzishwa mwaka 2021.

Dkt Munga amekuwa na mchango mkubwa katika kulikuza na kuliendeleza shirika letu la Reach Out Tanzania.

Mwenyezi Mungu ampumzishe Kwa amani.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Reach Out Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share