27/04/2026
Ulkuwa wakati mzuri sana kushiriki katika event ya upandaji Mikoko katika fukwe za Kunduchi iliyoandakiwa na Tanzania Youth Biodiversty Network katika siku ya Dunia yaan EARTH DAY 2026 tukiwa k**a Wana mazingira tuliiwakilisha Vyema Taasisi yetu na kwa pamoja tumeweza kudumsha ushirikiano na umoja pamoja na kuongeza Network
More shout out kwa Agem wote walioweza kufika katika zoezi hili, More shout out kwa Viongozi waliorganize event hii pamoja na timu nzima ya TYBN ...
Agem 2026π₯π₯π₯