28/07/2026
Askofu Baraka Thomas Tegge anakukaribisha sana kwenye semina nzuri kabisa ya vijana itakayofanyika 8/8/2026 , utapata wasahaa wakupata mafundisho na kuuliza maswali
BILA KUSAHAU KUTAKUWA NA KUNYWA NA KULA BUREEEE KABISAA
Mahali : Gongo la mboto ,mazizini
Tarehe : 8th AUGUST 2026
Muda : 3:00 asubuhi
HAKUNA KIINGILIO KABISAA