18/08/2025
Habari katika picha: Tukipata wasaa wa kushiriki mkutano wa kitaifa wa time huru ya Taifa ya uchaguzi, baada ya kupata kibali kuwa kati ya asasi za kiraia zitakazo toa elimi ya mpiga kura kwenye jamii yetu. Mkutano huu ulihudhuriwa na wadau mbalimbali wa maendeleo pamoja na viongozi wa serikali pale Mlimani City Dar es Salaam.
🇹🇿