13/10/2026
🤲💙 Yatima anahitaji msaada wako, na sadaka yako inaweza kuwa sababu ya furaha yake.
🎟️ Nunua tiketi ya VID Charity Fundraising Gala na tushirikiane katika kheri!
📅 Tarehe 8 Novemba 2026 📍 Golden Jubilee Tower, Posta
Changia kupitia namba za VID
Mixx by Yas: 0655 900 444
Airtel Money: 0789 407 887
M-Pesa: 0768 587 488
Lipa kwa Simu Mixx by Yas: 22162201
Lipa kwa Simu Mpesa :52994606
🤲 Allah akubali sadaka zetu na azifanye Sadaka Jaria. Aamiin!