Payah Foundation

Payah Foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Payah Foundation, Nonprofit Organization, Dar es Salaam.

The Payah foundation is a non-profit organization that aims to help young Tanzanians with difficulties that they face in the acquisition of education by providing funds for their tuition fees and various school expenses.

Heri ya siku ya wapendanao, leo nisiku ya kuonyesha upendo kwa watu wanaokuhitaji zaidi wewe ili wajipatie mahitaji yao,...
14/02/2023

Heri ya siku ya wapendanao, leo nisiku ya kuonyesha upendo kwa watu wanaokuhitaji zaidi wewe ili wajipatie mahitaji yao, usiwape muda unaowahitaji sana wewe Bali wale wanaokuhitaji wewe zaidi kwaajiri ya natumaini yao....

25/01/2023

Hivi kwanini mataifa yalioendelea hutumia lugha zao k**a lugha ya kufundisha, pia kwenye mambo yao mhimu hutumia lugha yao, wale wote waliosema Russia,china Germany,watakubaliana na mimi, hii imekaaje ,kwani kuna ugumu gani shule zetu kutumia lugha ya kiswahili k**a lugha ya kufundishia ,uchumi wetu, maendeleo yetu ,historia yetu, na lugha zingine zikabakia kwaajiri ya mawasiliano tu..

30/12/2022

Kuanza Tena ndio jawabu la ushindi.....hata k**a hujatimaza malengo yako mwaka huu Mshukuru mungu maana amekupatia nafasi nyingine ya kurudia Tena mwaka ujao.....nawatakia maandalizi mema ya mwaka mpya.

Hi friends, payah foundation is officially registered as payah youth initiative..... thanks to all who have made this ha...
03/07/2022

Hi friends, payah foundation is officially registered as payah youth initiative..... thanks to all who have made this happen,let serve the community as they need

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Payah Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Payah Foundation:

Share