08/05/2026
“Panda Shukrani, Vuna Furaha”
Je, unatambua kuwa na shukrani unahitaji kufanyia mazoezi pia?
Katika pilikapilika ya maisha, tunajikuta tunasahau kushukuru na kufurahia vitu vidogo katika maisha, mfano; kuamka salama, kuvuta hewa safi, uwepo wa ndungu na jamaa katika maisha n.k.
Hebu tutenge muda Jumapili hii kumeditate na kukuza akili ya shukrani pamoja 🌱🧘
Jumapili, tarehe 10, 2026.
Saa kumi na moja joini(5pm)
Tembelea tovuti yetu👇🏿
https://www.meditationafrica.org/booking-calendar