09/09/2024
Tumefurahi sana kuona pamoja na imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu kwa ngoma za asili na contemporary pamoja na muziki mubashara wa kiafrika umewasili.
Burudani na sherehe za kufurahia ngoma za asılı na muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika;
04.10.2024 - pale Slow leopard chole road Masaki.
04-05.10.2024 - Kijiji cha makubusho mkabala na kituo cha basi cha makumbusho.
06.10.2024 Bagamoyo kwenye hotel ya
TIKETI ZINA PATİKANA KWA KINGILIO CHA BEI HIZI.
20,000/=TZS (SIKU 3)
10,000/=TZS (SIKU 1)
15,000/=TZS (MLANGONI)
Piga; +255753325213 kwa reservation ya tickets | Nilipe app
•
•
•
Tamasha hili pia litatoa fursa ya mijadala ya Sanaa ya dansi na muziki na Networking kwa Vijana (wasanii) na wadau kwenye sekta ya muziki na dansi. Pamoja na walsha zenye kujenga uwezo kwa wanamuziki, dancers na wadau mbali mbali kubailishana mawazo na taluma, kutakuwa na mfunzo nadharia na pia kutakuwa Mambo kede kede ya kusisimua na mijadala ya pamoja kwa wadau. Pitia ratiba yetu kwenye tovuti www.marafikifestival.org
•
•
•
•
•
Artists line up Cc .the.rock tina_manzala Lucky Dance Theater, and more.
Special thanks to our principle sponsors and long term partner
Produced by
&
Partners Cc .tanzania
Festival partners: