Tanzania Scouts Association - TSA

Tanzania Scouts Association - TSA OFFICIAL PAGE FOR TANZANIA SCOUTS ASSOCIATION - The Largest Youth Movement in Tanzania. The TSA became a member of WOSM in 1963. Quotes of the Month!

The Tanzania Scouts Association (TSA) is the national Scouting organization of Tanzania. Scouting in Tanzania was founded in 1917, and became a member of the World Organisation of the Scout Movement (WOSM) in 1963. The coeducational association has 91,057 members as of 2010
TANZANIA SCOUTS ASSOCIATION
HISTORY. Scouting in present Tanzania started in Zanzibar in 1912 and in mainland Tanganyika in 1

917. In 1984, Tanzania hosted the 6th Africa Region Scout Conference. The Swedish Nykterhetsrörelsens Scoutförbund supported the TSA for some years, but withdraw its funding in 2005 because of accusations of fraud against TSA officials. In January 2006 two TSA officials were accused of people trafficking. PROGRAMS

Besides the traditional Scouting program, TSA is deeply involved in community development and has special programs for the prevention of AIDS. The aim of Scouting in Tanzania is to develop the spirit of Ujamaa and self-reliance. Ujamaa is the concept of family ties within the social order. The program emphasizes learning by doing, community development, and nature conservation, particularly in rural areas. President's Scout badge

The badge system is entirely adapted to the interests and needs of Tanzanian Scouts. The highest award is the President's Scout. Charles Ambrose, Farhad Shivji and Shafik Fazal from the Aga Khan Scouts - 1st Dar-es-Salaam Group, were among the first ten Scouts to be awarded the President's Scout badge by the President of the Republic, Dr. Ali Hassan Mwinyi in August 1992 at Magila Village in Tanga region, the site where Lord Baden-Powell, founder of the Scout movement, enrolled the first Tanganyika Scouts in 1938. There is an active cooperation between Scouts and Girl Guides and with other youth organizations in celebrating national festivals, rendering services in villages and occasionally in courses, seminars and training camps. Scouts and Girl Guides often work together in community development projects, which are frequently supported by Scout organizations from other countries. One such project, with support from Norway, is establishing small rural industries and providing agricultural training. RELIGIOUS FACTIONS

Tanzania Catholic Conference of Scouting was affiliated in 2008. It comprises catholic scouts from 34 dioceses of Catholic Church in Tanzania. TCCS is a member of International Catholic Conference of Scouting
The Islamic Scouts is a member of International Union of Muslim Scouts. IDEALS

Scout Motto

The Scout Motto is Uwe Tayari, Be Prepared in Swahili. Scout Promise

Kwa yamini yangu, naahidi kwamba nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu, kutimiza wajibu wangu kwa Mungu na Taifa langu, kuwasaidia watu siku zote, na kutimiza Kanuni za Skauti. On my honour, I promise that I will do my best, to do my duty to God and to my nation; to help other people at all times and to keep the Scout Law. Scout Law

Heshima ya Skauti ni kuaminiwa
Skauti ni mzalendo kamili
Skauti ni mtu wa kufaa na kusaidia wengine
Skauti ni rafiki kwa wote na ndugu kwa kila Skauti
Skauti ni mwenye adabu kamili
Skauti ni mwenye huruma kwa viumbe
Skauti ni mtiifu daima
Skauti ni mchangamfu daima
Skauti ni mwangalifu wa mali zake na za wengine pia
Skauti ni safi katika mawazo, maneno, na matendo yake

+ Skauti si mjinga na mjinga sio skauti (ilisemwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere)


A Scout's honour is to be trusted
A Scout is loyal to his nation
A Scout is helpful to others
A Scout is friendly to all and a brother to every Scout
A Scout is courteous
A Scout is kind to all creatures
A Scout is obedient to his leaders
A Scout is always cheerful
A Scout is thrifty
A Scout is clean in thought, word and deed

CAMPING AND TRAINING GROUNDS
Bahati Camp in Morogoro, 190 kilometers from Dar-es-Salaam, is the national training and camping grounds. The camp has some basic training and camping facilities, situated on a site between two rivers on Mount Uluguru. The Association has other district camps, which are not developed. The Association is involved in various community development programs. EMBLEM
The national badge of the Tanzania Scouts Association features a giraffe's head, a symbol in use since Tanzania was a colonial branch of British Scouting. "A scout is never taken by surprise. He knows exactly what to do when something unexpected happens" ...Robert Baden Powell

"It always seems impossible until it's done" ...Nelson Mandela
"If we do not have peace it's because we have forgotten that we belong to each other" ...Mother Teresa

"Believe you can and you're halfway there"...Theodore Roosevelt

04/05/2026
Leo tunaadhimisha miaka ya Muungano wa 🇹🇿 ulioweka msingi wa umoja, mshik**ano na amani ya taifa letu. K**a Skauti, tuna...
26/04/2026

Leo tunaadhimisha miaka ya Muungano wa 🇹🇿 ulioweka msingi wa umoja, mshik**ano na amani ya taifa letu. K**a Skauti, tunaendelea kujenga kizazi chenye uzalendo, huduma kwa jamii na upendo kwa Taifa letu lililoungana.

“Muungano wetu ni nguvu yetu, na umoja wetu ni urithi wa vizazi vijavyo.”

Heri ya Siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. 🇹🇿⚜️

Dodoma,.Chama Cha Skauti Tanzania na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania wameendelea kuimarisha ushirikiano wao mara b...
03/04/2026

Dodoma,.
Chama Cha Skauti Tanzania na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania wameendelea kuimarisha ushirikiano wao mara baada ya kupitia na kuboresha rasimu ya Mkataba mpya wa ushirikiano kati yao ili kuendana na mahitaji ya sasa

Akizungumza Jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi kilichowakutanisha Viongozi wa Jeshi la Zimamoto Tanzania na Chama Cha Skauti Tanzania Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini John Masunga amekipongeza Chama Cha Skauti kwa mchango wao mkubwa ambao umekuwa ni wa kuigwa katika masuala ya Usalama wa jamii.

Pia CGF Masunga akiongelea Mkataba mpya unaotarajiwa kukamilika hivi karibuni amesema kuwa utaongeza ufanis WA ushirikiano kwa kuweka mikakati thabiti itakayowezesha utoaji wa elimu kwa umma, kuimarisha kinga dhidi ya majanga, pamoja na kuongeza uwezo wa kukabiliana na matukio ya moto na Uokoaji.

Kwa upande wake Kamishna Mkuu wa Chama Cha Skauti Tanzania LT. Abukari Mtitu amesema ushirikiano wa pande hizo mbili umeweza kuleta matokeo chanya na kuwajengea Vijana ujuzi mbalimbali Katika masuala ya Uokozi katika majanga mbalimbali

Pia Kamishna Mkuu LT. Abubakari Mtitu amesema Vijana wa Skauti wamekuwa wakishirki kikamilifu katika utoaji wa elimu kwa jamii kuhusu kinga na tahadhari dhidi ya moto hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kuongeza uelewa WA wananchi kuhusu namna bora ya kujikinga na majanga na hatua za kuchukua pindi majanga yanapotokea

Ushirikiano wa Chama Cha Skauti Tanzania na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji umekuwa nyenzo muhimu katika kuimarisha Usalama katika jamii.

pamoja na kushiriki katika matukio ya Uokozi

Hongera sana Maleo Stanley Lameck!Tunayo furaha kubwa kukupongeza kwa kuchaguliwa rasmi kuwa Youth Representative – Afri...
11/03/2026

Hongera sana Maleo Stanley Lameck!

Tunayo furaha kubwa kukupongeza kwa kuchaguliwa rasmi kuwa Youth Representative – Africa Scout Region (2025–2028).

Ushindi huu si wa bahati, bali ni matokeo ya juhudi zako za muda mrefu, uvumilivu, na kutokukata tamaa. Umejaribu mara nyingi, ndani na nje ya nchi, bila kuchoka na bila kurudi nyuma. Leo hii, hatimaye umeweza na si tu katika ngazi ya taifa, bali katika ngazi ya Afrika nzima.

Hii ni heshima kubwa kwako binafsi, kwa Tanzania Scouts Association, na kwa vijana wote wa Tanzania. Umeonyesha kuwa kukata tamaa si sehemu ya safari ya mafanikio, na kwamba anayevumilia na kuamini anaweza kufika mbali.

Tunakuombea hekima, nguvu, na mafanikio mema katika kuwatumikia na kuwawakilisha vijana wa Afrika kwa uadilifu na weledi.

Hongera sana kwa ushindi huu mkubwa. Umetuheshimisha! 🌍⚜️🇹🇿

05/03/2026

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akivalishwa Skafu na vijana wa Skauti mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Don Bosco kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Mafunzo ya Uanagenzi Awamu ya Nane kwa Mwaka 2025/2026 leo Machi 3, 2026 Jijini Dodoma.

Rais wa Chama cha Skauti Tanzania, ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, akisaini kit...
02/03/2026

Rais wa Chama cha Skauti Tanzania, ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, akisaini kitabu cha maombolezo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph

Skauti Mkuu wa Tanzania, ambaye pia ni Katibu Tawala Mkoa wa Tanga LT. Rashid Kassim Mchatta akisaini kitabu cha maombol...
02/03/2026

Skauti Mkuu wa Tanzania, ambaye pia ni Katibu Tawala Mkoa wa Tanga LT. Rashid Kassim Mchatta akisaini kitabu cha maombolezo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph

Kamishna Wa Skaut Wilaya ya Kigamboni bi. Neema Kilongozi amemkabidhi rasmi hati miliki ya kiwanja cha sqm 4000 Mdhamini...
02/03/2026

Kamishna Wa Skaut Wilaya ya Kigamboni bi. Neema Kilongozi amemkabidhi rasmi hati miliki ya kiwanja cha sqm 4000 Mdhamini wa Chama Cha Skauti Tanzania Askofu LT Gervas Nyaisonga katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Skauti Tanzania.

Akizungumza wakati wa kukabidhiwa rasmi hati miliki ya kiwanja hicho kilichopo Gezaulole, Kigamboni Dar es Salaam, Askofu LT. Gervas Nyaisonga ameupongeza Uongozi wa Skauti Kigamboni kwa ufuatiliaji mzuri wa mali za Chama na hatimaye kupata hati miliki

Kwa upande wake Kamishna Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania LT. Abubakar Mtitu amewataka Makamishna wote wa chama hicho Cha Skauti kuhakikisha wanazihakiki mali zote za Chama ndani ya maeneo yao wanayoyaongoza na kuzitambulisha kwa Makao Makuu ya Chama kwa taratibu zingine

VIONGOZI WAASWA KUWA WAJIBIKAJI NA KUWEKEZA KATIKA ELIMU BUNIFU KWA MAENDELEO YA VIJANAKilimanjaro, Tanzania – 28 Februa...
01/03/2026

VIONGOZI WAASWA KUWA WAJIBIKAJI NA KUWEKEZA KATIKA ELIMU BUNIFU KWA MAENDELEO YA VIJANA

Kilimanjaro, Tanzania – 28 Februari 2026

Mjumbe wa K**ati ya Skauti Afrika, Skauta Yassin O. Makaraba, amewasihi viongozi wa serikali, taasisi, na jamii kwa ujumla kuwekeza kwa dhati katika elimu bunifu na stadi za kidigitali ili kuharakisha maendeleo endelevu ya vijana nchini.

Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Mwanzilishi wa Skauti yaliyofanyika katika Viwanja vya Hindu Mandul Grounds, Mkoa wa Kilimanjaro, Skauta Makaraba alisisitiza kuwa dunia ya sasa inahitaji vijana wenye ujuzi wa kiteknolojia, ubunifu, na maadili imara yatakayowawezesha kushindana kimataifa.

“Ni wajibu wetu k**a viongozi kuhakikisha vijana wanapatiwa maarifa na stadi zitakazowawezesha kujiajiri, kuajirika na kuwa sehemu ya suluhisho la changamoto za jamii,” alisema.

Aidha, aliwashukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wadau wa maendeleo kwa kuendelea kuisaidia Skauti Tanzania katika malezi ya vijana, akibainisha kuwa ushirikiano huo umechangia kujenga kizazi chenye uzalendo, nidhamu, na uwajibikaji.

Maadhimisho hayo yaliambatana na kaulimbiu isemayo: “Elimu Bunifu na Stadi za Kidigitali kwa Maendeleo Endelevu ya Vijana.”

Skauti Tanzania imeendelea kuwa mstari wa mbele katika kuwaandaa vijana kupitia programu zinazojenga uongozi, maadili, na uwajibikaji wa kijamii.

Imetolewa na:
Ali Jumbe
PR lab -Kilimanjaro
28 Februari 2026

Address

SCOUTS Building Plot No. 1078 Upanga, Malik Road P. O. Box 945
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 12:30

Telephone

+255742070788

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Scouts Association - TSA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share