Swahili Facts

Swahili Facts We fight bad information by providing fact-checked content in Swahili. Hakiki Taarifa , Fanya maamuzi sahihi

Ukweli Kuhusu Tangazo Hili! imefanya uchunguzi kuhusu tangazo linalosambazwa mtandaoni likidai kuwa kampuni ya mabasi ya...
27/01/2025

Ukweli Kuhusu Tangazo Hili!

imefanya uchunguzi kuhusu tangazo linalosambazwa mtandaoni likidai kuwa kampuni ya mabasi ya imetangaza nafasi 50 za ajira. Baada ya mawasiliano na kampuni hiyo, imethibitishwa kuwa tangazo hilo ni la upotoshaji, na kampuni haina uhusiano wowote nalo.

Tahadhari kwa Wananchi
1. Epuka Kuwasiliana na akaunti zisizorasmi zinazodai kuwakilisha kampuni flani.
2.Ripoti Ulaghai: Matukio k**a haya yanapaswa kuripotiwa kwa vyombo vya usalama au mamlaka husika.

Soma zaidi kupitia linki kwenye bio

Karibu Swahili Facts ! Sisi ni shirika lisilo la kiserikali , tunathibitisha Taarifa kwa Kiswahili. Jiunge nasi katika s...
03/01/2025

Karibu Swahili Facts ! Sisi ni shirika lisilo la kiserikali , tunathibitisha Taarifa kwa Kiswahili. Jiunge nasi katika safari ya kupinga upotoshaji na uzushi

Fahamu Ukweli kuhusu Utapeli unaovuma kuhusu shirika la USAID TanzaniaSoma makala yetu kufahamu zaidi! Bofya linki kweny...
03/01/2025

Fahamu Ukweli kuhusu Utapeli unaovuma kuhusu shirika la USAID Tanzania

Soma makala yetu kufahamu zaidi! Bofya linki kwenye bio Swahili Facts

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Facts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share