Tanzania Olympic Committee

Tanzania Olympic Committee Mission: To develop, promote and protect the Olympic Movement in Tanzania. to IOC & ANOCA

Leo tarehe 9.3.2026 k**ati ya Olimpiki Tanzania imetangaza rasmi muongozo na tarehe ya uchaguzi kwa wale wote watakaowan...
09/03/2026

Leo tarehe 9.3.2026 k**ati ya Olimpiki Tanzania imetangaza rasmi muongozo na tarehe ya uchaguzi kwa wale wote watakaowania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa k**ati ya Olimpiki Tanzania kwa mwaka 2026.

Akizungumza na waandishi wa habari, Makamu wa Rais wa k**ati ya Olimpiki Tanzania Henry Tandau amesema, “hapo awali kulikua na zoezi la kurekebisha vifungu kadhaa vya katiba ndipo uchaguzi ufanyike, hivyo kupitia mkutano kiliochofanyika tarehe 31.1.2026 Mkoani Morogoro katiba hiyo imepita kwa kauli moja ya wajumbe wote na msajili ameshaitia ithibati.”

Akitoa muongozo wa uchaguzi wa k**ati ya Olimpiki Tanzania, Mwenyekiti wa kamisheni ya uchaguzi TOC wakili Ibrahim Mkwawa ameeleza kwa kusema “kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha sheria na kanuni za TOC uchaguzi wa viongozi utafanyika tarehe 12.4.2026 jijini Dar es salaam.”

Amendelea kwa kufafanua utaratibu wa mchakato wa uchaguzi k**a ifuatavyo, kuchukua fomu za uchaguzi ni kuanzia tarehe 14.3.2026 mpaka 27.3.2026 katika ofisi za TOC zilizopo Mwananyamala Komakoma na katika ofisi ya TOC iliyopo maktaba kuu Zanzibar.

Tarehe 28.3.2026 ni siku ya kurejesha fomu, tarehe 29.3.2026 mpaka tarehe 30.3.2026 kukagua fomu zilizorudishwa, tarehe 31.3.2026 ni siku ya kutoa orodha ya awali ya wagombea.

Tarehe 1-3.4. 2026 k**ati ya rufaa itapokea rufaa k**a zipo tarehe 4.4.2026 k**ati itatoa maamuzi juu ya wagombea na tarehe 7.4.2026 k**ati itatoa orodha ya mwisho ya wagombea. Hivyo kuanzia tarehe 7.4.2026 mpaka tarehe 11.4.2026 wagombea watafanya kampeni zao.

Nafasi zinazowaniwa ni k**a zifutazo, Rais wa TOC na Makamu wa rais wa TOC, wajumbe wa k**ati ya utendaji Tanzania bara watano na Zanzibar watano.

Amemalizia kwa kusema kua wagombea wote wenye nia na waliokidhi vigezo wanakaribishwa sana kuchukua fomu za uchaguzi.

Kamati ya Olimpiki Tanzania imefanya Mkutano Mkuu Maalum leo 31.1.2026 katika Hotel ya Kingsway mkoani Morogoro. Mkutano...
31/01/2026

Kamati ya Olimpiki Tanzania imefanya Mkutano Mkuu Maalum leo 31.1.2026 katika Hotel ya Kingsway mkoani Morogoro. Mkutano huo umewakutanisha Wenyeviti wa Vyama vya Michezo kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, Msajili wa Vyama vya Michezo Tanzania Bara na Mrajis wa Vyama vya Michezo Zanzibar, Pamoja na Mwakilishi wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo Tanzania.
Lengo la mkutano huo maalum ni kujadili na kupitisha Katiba ya Kamati ya Olimpiki Tanzania.

30/01/2026

Afrika Karibu, Dakar tunafurahia.
Dakar 2026 Youth Olympic Games

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alimtunuku Rais wa Kamati ya Olimpik ya Tanzania...
15/01/2026

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alimtunuku Rais wa Kamati ya Olimpik ya Tanzania, Ndugu Gulam Rashid, Nishani ya Mapinduzi kwa viongozi wenye sifa maalumu k**a umahiri katika michezo, uzalendo na kiongozi anaechangia maendeleo ya michezo nchini.

Hafla hii ilikuwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar (1964–2026).

Filbert Bayi is one of the greatest sports heroes, achieving remarkable success by setting outstanding records in variou...
02/01/2026

Filbert Bayi is one of the greatest sports heroes, achieving remarkable success by setting outstanding records in various races both nationally and internationally. After retiring from professional athletics, Filbert Bayi continues to serve the community through the Filbert Bayi Foundation and honors sports by serving as the Secretary General of the Tanzania Olympic Committee.

31/12/2025

Round of 16 | Spot 08. 🇹🇿

Tanzania qualify for the next round of the ! 🌟

Team Tanzania to the ANOCA Under-16 Fourth African Youth Games held in Luanda, Angola, safely returned home on 23rd Nove...
24/12/2025

Team Tanzania to the ANOCA Under-16 Fourth African Youth Games held in Luanda, Angola, safely returned home on 23rd November 2025. The team arrived at Julius Nyerere International Airport and was welcomed by the Tanzania Olympic Committee officials upon landing.
From left Gulam Rashid TOC President, Furaha Mwita Chief de Mission, Masoud Issa Mtalaso Table Tennis Coach, Halima Bushiri Team Manager, Zuberi Likoko Swimming Coach, Qutbuddin Mohammed Table Tennis Player, Henry Tandau TOC Vice President.

Merry Christmass & Happy New Year 🎄
24/12/2025

Merry Christmass & Happy New Year
🎄

21/12/2025

Qutibuddin Mohammed, Team Tanzania’s captain and flag bearer, participated in the closing ceremony of the 4th African Youth Games 2025 in Luanda.
-Anoca

Team Tanzania at the 11 de Novembro Stadium tonight for the opening ceremony of the 4th African Youth Games 2025.
13/12/2025

Team Tanzania at the 11 de Novembro Stadium tonight for the opening ceremony of the 4th African Youth Games 2025.

12/12/2025

Kocha wa Mpira wa Meza Masoud Mtalaso akizungumza baada ya mashindano

10/12/2025

Tanzania 🇹🇿 vs Djibouti 🇩🇯

Address

Mwananyamala Komakoma, NHC Building
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Olympic Committee posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania Olympic Committee:

Share