Love loom

Love loom Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Love loom, Nonprofit Organization, Dodoma.

✝️ KWARESIMA YA HURUMAKatika kipindi hiki kitakatifu, tuungane kuleta tumaini kwa watoto wengi wenye mazingira magumu. K...
23/02/2026

✝️ KWARESIMA YA HURUMA

Katika kipindi hiki kitakatifu, tuungane kuleta tumaini kwa watoto wengi wenye mazingira magumu.

Kwa niaba yako, pale ambapo huwezi kuwafikia wengi, sisi tunasimama k**a wasimamizi wa kusaidia kufikia wengi wenye uhitaji hasa kipindi hiki kitakatifu.
Mchango wako, hata k**a ni kidogo unagawanywa kwa watoto wengi, kila mmoja akishiriki sehemu ya kile ulichotoa, na hivyo kuleta tumaini na faraja.
Tunawahudumia wote kwa upendo, bila ubaguzi Wakristo na Waislam.

Tuma mchango wako kupitia:
CRDB Account No: 015C758984700
Jina: Upskill Tanzania

Ikiwa una mashaka, ni jambo la kawaida; kila mmoja anawajibika mbele ya Mungu wake.
Lakini anayetoa kwa moyo wa imani na upendo, hakika atapokea baraka tele. 🙏

🌙 MFUKO WA WATOTO WENYE MAZINGIRA MAGUMU - RAMADHANI 1447H / 2026Ramadhani ni mwezi wa Qur’an, rehma na maghfira. Ni mwe...
19/02/2026

🌙 MFUKO WA WATOTO WENYE MAZINGIRA MAGUMU - RAMADHANI 1447H / 2026

Ramadhani ni mwezi wa Qur’an, rehma na maghfira. Ni mwezi wa sadaka na ihsani, ambapo thawabu huzidishwa na milango ya Pepo hufunguliwa. Kumtunza yatima na kumfuturisha aliyefunga ni katika amali zenye ujira mkubwa mbele ya Allah ﷻ.

Kupitia Mfuko huu, tunakusudia kuwafuturisha watoto yatima katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, kwa kutafuta radhi za Allah na akiba ya Akhera.

Tuma mchango wako kupitia CRDB account no. 015C758984700
Jina: Upskill Tanzania

🤲 Toa sadaka kwa ikhlasi, uwe sababu ya dua ya yatima na ujipatie thawabu zenye kuendelea katika mwezi huu mtukufu.

Address

Dodoma
115

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Love loom posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share