VYG Tanzania

VYG Tanzania Before you give up , call us :
+255 0653352253 / 0784470693 / 0764425762

04/04/2026
30/01/2026

VYG Tanzania is ready for the first Self Help meeting of the year!

🔴🔵⚪️ Habari VYG FAM,Leo ndiyo siku yetu kuu.Vibe lipo na haliwezi kukosekana leo, hivyo usipange kukosa, kwa sababu hii ...
21/12/2025

🔴🔵⚪️ Habari VYG FAM,

Leo ndiyo siku yetu kuu.
Vibe lipo na haliwezi kukosekana leo, hivyo usipange kukosa, kwa sababu hii ni ya mwisho wa mwaka huu.

🕐 Saa 7 mchana leo

Vijana wa makanisa yote tukutane makao makuu, pamoja na vijana tuliowaalika. Usije peke yako—walau lete nafsi moja kwa Mungu leo. Huenda mwaka mzima hujaleta hata mtu mmoja; mlete leo k**a sadaka yako kwa Mungu.

Mungu awabariki.

12/12/2025

CHECKLIST AND REMINDERS FOR THE FAST OF DANIEL ✅

10/12/2025

DAY 1 - FAST OF DANIEL

To live a life that is holy and pleasing to God means surrendering ourselves completely to Him — turning away from sin and choosing to honor Him through purity, love, and obedience.

This daily dedication of our hearts, minds, and actions is what true worship really is: a life fully offered to God.



Address

Barabara Ya Chang'ombe Tunatazamana Na Chuo Cha Ufundi Veta
Dar Es Salaam

Telephone

+255653352253

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VYG Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share