09/05/2025
Habari mpendwa!
Napenda kukukaribisha kushiriki kwenye WIDOWS CHARITY SERVICE itakayofanyika 27th Sept 2025.
Kwa Neema ya Mungu mwaka huu tunatarajia kugusa familia za WAJANE 40 ndani ya wilaya ya Bagamoyo katika kuwapatia mahitaji yao muhimu pia kuwatia moyo katika majukumu yao yakuendesha familia.
kwa kadri Mungu atakavyokuwezesha tunakukaribisha kushiriki kwa Sadaka yako namba zifuatazo:
M-Pesa:0769680644
Halopesa :0622360644
(Christina Stephano)