Tanzania Youth Coalition (TYC) is a consortium of 120 youth NGOs and CBOs, 249 Youth Enterprise Groups (YEGs) and hundreds of youth individuals in Tanzania Mainland and Zanzibar. IN ENGLISH
Tanzania Youth Coalition (TYC) is a consortium/union of 120 youth non-governmental organizations, 249 Youth Enterprise Groups (YEGs) and hundreds of youth individuals countrywide. TYC is working towards buildin
g the capacity and raising awareness of young people on Sustainable Development. TYC addresses four programme areas:
1) Youth Livelihood and Employment,
2) Environment and Youth Livelihood
3) Gender and Youth Health
4) Coalition Building and Networking
TYC is registered under the NGO Act of 2002 no. 00NGO/1382. The goal of the organization is to ensure that the voice of a young person is heard at all policy platforms at local, national and international levels. Tanzania Youth Coalition (TYC) does the work of facilitating information dissemination, sharing and exchange, Policy Analysis, youth capacity building, Lobbying and advocacy. Tanzania Youth Coalition (TYC) has a program to run youth platforms in 12 regions across the country, including Zanzibar. In this program TYC managed to reach over 6000 young people by providing different trainings, including entrepreneurship and establishment of SACCOS, project management, citizen journalism, financial management, leadership skills, life skills and working in teams and groups. VISION
Tanzania will have a well-informed and empowered, responsible youth population participating on national development productively, individually and from a strong and vibrant civil society at local, national and international levels to the benefit of the poor and vulnerable people of our nation (Constitution 2002). MISSION
The main purpose of Tanzania Youth Coalition is to raise awareness and build the capacity of youth (primarily the coalescing partners) on sustainable development focusing on policy issues, information, lobbying and advocacy and ensure that the voice of a young person is heard across decision making platforms (Constitution 2002). IN SWAHILI
Tanzania Youth Coalition (TYC) ni muungano wa mashirika 120 yasiyo ya kiserikali na vikundi 249 vya uzalishaji mali vinavyofanya kazi na vijana nchini. Shirika la TYC linafanya kazi katika maeneo manne (4) ya kiprogramu ambayo ni:
1. Kuwawezesha vijana kupata ajira na kipato
2. Upatikanaji wa kipato kwa vijana kutoka rasilimali za kimazingira
3. Afya ya kijana na ujinsia
4. Kujenga muungano wa vijana na mtandao. Shirika la TYC limesajiliwa chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO Act of 2002) kwa nambari 00NGO/1382. Lengo kuu la shirika ni kuhakikisha kwamba sauti ya kijana inasikika katika nyanja za utoaji maamuzi na sera katika ngazi ya kata, wilaya, taifa na kimataifa. Shirika la TYC linafanya kazi ya kuwezesha upatikanaji wa habari, kushirikiana na kubadilishana, Uchambuzi wa Sera, kuwajengea vijana uwezo, Ushawishi na utetezi. Tanzania Youth Coalition (TYC) inayo programu ya kuendesha majukwaa ya vijana katika mikoa 12 nchi nzima ikiwemo Zanzibar. Katika programu hii TYC imeweza kufikia zaidi ya vijana 6000 kwa kuwapatia mafunzo mbalimbali ikiwemo ujasiriamali na uanzishaji wa SACCOS, usimamizii wa miradi, uandishi wa habari, utunzaji wa hesabu za fedha, uongozi, stadi za maisha pamoja na ufanyaji kazi katika timu na vikundi. DIRA
Tanzania itakuwa na vijana wenye kupata na taarifa na waliowezeshwa , Kuwa na vijana wengi wanao wajibika , na Kushiriki katika uzalishaji kwa maendeleo ya kitaifa, eidha kwa Mtu mmoja mmoja kutoka katika asasi za kiraia zenye nguvu na mahiri katika ngazi ya mitaa,kitaifa na kimataifa kwa manufaa ya watu maskini na wanaoishi katika mazingira magumu ya taifa letu (Katiba 2002 ). DHAMIRA
Lengo kuu la Tanzania Coalition (TYC) ni kuongeza ufahamu na kujenga uwezo wa vijana (hasa washirika coalescing) juu ya maendeleo endelevu ya kuelekeza katika masuala ya kisera, taarifa, ushawishi na utetezi na kuhakikisha kuwa sauti ya kijana imesikiwa katika majukwaa ya maamuzi (Katiba 2002).