Care Home for Children Organisation

Care Home for Children Organisation At CHfCO we provide unwavering care, support and advocacy to vulnerable children.

Charity begin at home!Tuwasaidie wale wote wenye mahitaji Ya muhimu ili tuwe na jamii yenye tabasamu ๐Ÿ™
17/01/2025

Charity begin at home!
Tuwasaidie wale wote wenye mahitaji Ya muhimu ili tuwe na jamii yenye tabasamu ๐Ÿ™

Kwa niaba Ya CARE HOME FOR CHILDREN ORGANIZATION,Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wote waliowasaidia watoto wetu mahit...
17/01/2025

Kwa niaba Ya CARE HOME FOR CHILDREN ORGANIZATION,
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wote waliowasaidia watoto wetu mahitaji yao Ya shule ,Mungu awabariki๐Ÿ™๐Ÿ™

Hello! Kwa yeyote atakayeguswa kusaidia watoto wanaishi kwenye mazingira magumu,wakiwemo yatima ,watoto wa mitaani nk, u...
16/01/2025

Hello!
Kwa yeyote atakayeguswa kusaidia watoto wanaishi kwenye mazingira magumu,wakiwemo yatima ,watoto wa mitaani nk, unaweza kuwasaidia ili waweze kupata nahitaji yao muhimu K**a watoto wengine.
CHARITY BEGIN AT HOME ๐Ÿ™

31/12/2024
25/10/2024

RAISING THE FUTURE OF TOMORROW ๐Ÿค—

Shukrani kwa timu Nzima ya KIHOWEDE kwa mafuzo mazuri Ya namna Ya kuendesha taasisi๐Ÿ™๐Ÿ™
24/10/2024

Shukrani kwa timu Nzima ya KIHOWEDE kwa mafuzo mazuri Ya namna Ya kuendesha taasisi๐Ÿ™๐Ÿ™

24/10/2024

Kushiriki kile ulichonacho, ni sehemu ya kuonesha upendo,
K**a miale ya jua inayogusa kila kiumbe duniani,
Ni k**a mto unavyobubujika na kumwaga maji yake,
Pasipo kuuliza nani atakunywa, nani atanufaika.

Upendo haujifichi, unaangazia wote,
Umetawanyika k**a upepo, ukigusa mioyo mikavu,
Kushiriki ni sauti ya huruma, isiyo na maneno,
Ni mlango wa amani, unaofungua mfunguo wa maisha.

Toa kilicho ndani yako, k**a mti utoavyo matunda,
Usihesabu hasara, maana thawabu ni nyingi,
Katika kushiriki, tunapata nguvu na faraja,
Upendo wa kweli hujenga, huhifadhi na kutuliza.

Kushiriki ni wimbo wa mshik**ano, unaoimbwa kila siku,
Ni mwangaza wa tumaini, unaotawala gizani,
Ndani ya matendo yetu, upendo huzaliwa,
Na katika kushiriki, tunakuwa k**a nyota angani.

๐ŸŒ

Hatuwezi kuwa na matumaini ya kuyatatua matatizo yetu kwa kujifanya hayapo. -Mwalimu Julius K. Nyerere
14/10/2024

Hatuwezi kuwa na matumaini ya kuyatatua matatizo yetu kwa kujifanya hayapo. -Mwalimu Julius K. Nyerere

Address

Mwanagati, Kitunda
Dar Es Salaam
12111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Care Home for Children Organisation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Care Home for Children Organisation:

Share