Voice of Women organization Tanzania

Voice of Women organization Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Voice of Women organization Tanzania, Nonprofit Organization, kigamboni Bamba beach, Dar es Salaam.

To become the best organization in Tanzania and have a well governed society where women, Youth, Children and people with disability whose rights are respected and protected

MCHANGO HUU NI KWA AJILI YA WATOTO YATIMA NA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU/ KAYA FUKARA  TUNAPOKEA VIFAA VYA ...
15/01/2026

MCHANGO HUU NI KWA AJILI YA WATOTO YATIMA NA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU/ KAYA FUKARA TUNAPOKEA VIFAA VYA SHULE, NGUO, CHAKULA, VIATU , BIMA ZA AFYA KUPITIA TAASISI YETU YA VOICE OF WOMEN ORGANIZATION KARIBU UWE SEHEMU YA BARAKA HII KWA MWAKA HUU 2026 MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI SANA

Voice Of Women organization tumepata ugeni kutoka kwa wanafunzi wa  chuo kikuu cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere kitivo cha...
06/05/2025

Voice Of Women organization tumepata ugeni kutoka kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere kitivo cha ustawi wa jamii katika ziara yao ya mafunzo ya nje katika taasisi yetu yetu ambapo mbali na kupata Taarifa na maelezo ya miradi mbali mbali tuliyoifanya nchini na inayoendelea, waliweza kujifunza kwa vitendo jinsi taasisi zinavyofanya kazi kwa kushirikiana na maafisa maendeleo na ustawi wa jamii. .fame




Taasisi ya Voice Of Women ikishirikiana na B.M.U , ITY, Usilie Tena na Plant a  Tree Community  kwa pamoja  leo tarehe 2...
24/04/2025

Taasisi ya Voice Of Women ikishirikiana na B.M.U , ITY, Usilie Tena na Plant a Tree Community kwa pamoja leo tarehe 23 Aprili 2025, wameshirikiana katika kampeni ya " MVINJE WA SAMIA" na kufanikiwa kupanda miti aina ya mivinje 1500 kando kando ya fukwe za bahari zilizopo gezaulole - Kigamboni, kuunga mkono juhudi za mhe. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya kulinda na kutunza fukwe dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika jitihada za kukuza uchumi wa buluu. a tree







Taasisi ya Voice Of Women ikishirikiana na B.M.U , ITY, Usilie Tena na Plant a  Tree Community  kwa pamoja  leo tarehe 2...
23/04/2025

Taasisi ya Voice Of Women ikishirikiana na B.M.U , ITY, Usilie Tena na Plant a Tree Community kwa pamoja leo tarehe 23 Aprili 2025, wameshirikiana katika kampeni ya " MVINJE WA SAMIA" na kufanikiwa kupanda miti aina ya mivinje 1500 kando kando ya fukwe za bahari zilizopo gezaulole - Kigamboni, kuunga mkono juhudi za mhe. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya kulinda na kutunza fukwe dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika jitihada za kukuza uchumi wa buluu.


Panda Mvinje Tunza Fukwe
09/04/2025

Panda Mvinje Tunza Fukwe

Umuhimu, na uwajibikaji wa taasisi zisizo za kiserikali kwa jamii, dhidi ya kukuza mtandao wa  pamoja  wa ushirikishwaji...
07/04/2025

Umuhimu, na uwajibikaji wa taasisi zisizo za kiserikali kwa jamii, dhidi ya kukuza mtandao wa pamoja wa ushirikishwaji Fursa ili kutatua majanga na kukuza maendeleo ya Kitaifa.

  Epuka kugusana
10/03/2025


Epuka kugusana

Kuelekea siku ya wanawake duniani       Wadau kwa pamoja tunaweza tukishirikiana
11/02/2025

Kuelekea siku ya wanawake duniani








Wadau kwa pamoja tunaweza tukishirikiana

Voice Of Women Organization( VOWO) chini ya mkurugenzi wake bi. Baby Joseph Madaha tarehe 31/12/ 2024 waliwatembelea na ...
10/01/2025

Voice Of Women Organization( VOWO) chini ya mkurugenzi wake bi. Baby Joseph Madaha tarehe 31/12/ 2024 waliwatembelea na kuwapatia mahitaji muhimu pamoja na zawadi za mwaka mpya kituo cha watoto yatima cha Charambe Orphanage Center kwa mbiku , wilaya ya temeke jijini Dar es salaam. " Yatima ni wetu tuwapende, tuwalinde na tuwatunze " Assalamu alaikhum wa rahmatullah wabarakatul🙏

Mwaka mpya 2025... Mkurugenzi wa Voice of Women. Organization  bi. Baby Joseph Madaha  na wafanyazi wote wa shirika hili...
07/01/2025

Mwaka mpya 2025... Mkurugenzi wa Voice of Women. Organization bi. Baby Joseph Madaha na wafanyazi wote wa shirika hili waliukaribisha mwaka kwa kujumuika pamoja na watoto wa kituo cha Mbagala charambe orphanage center kwa mbiku, kwa kuwapelekea chakula na mahitaji mengine Muhimu hakika watoto walifurahi sana

Voice of women  Organization kuwatunza na kuwakumbuka wazee
01/01/2025

Voice of women Organization kuwatunza na kuwakumbuka wazee

    Anza na Charity
12/12/2024




Anza na Charity

Address

Kigamboni Bamba Beach
Dar Es Salaam
17108

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Voice of Women organization Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share