Tumaini Hopes.

Tumaini Hopes. Helping disable and orphans

Nikiendelea kukamilisha vyema mafunzo ya kitaalamu ya siku mbili kuhusu STRESS MANAGEMENT AT WORK PLACE, FAMILY AND RELA...
10/05/2026

Nikiendelea kukamilisha vyema mafunzo ya kitaalamu ya siku mbili kuhusu STRESS MANAGEMENT AT WORK PLACE, FAMILY AND RELATIONSHIP, na PERSONALITY AND TEMPERAMENTS (Tabia na Haiba na ujumbe wake).

Na athari zake kisaikolojia katika mawasiliano, na ushawishi wake katika mazingira ya kazi.

​Psychological impact: Athari za kisaikolojia.

​Work environment: Mazingira ya kazi.

21/12/2025

SAMAKI AINA YA SEA STAR (Starfish)

AMEBEBA VIRUTUBISHO VYA KUTOSHA:

1. PROTINI KWA WINGI.

2. MAFUTA AINA YA Omega-3 Fatty Acids

3. MADINI AINA YA Zinc, Magnesium, and Potassium ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuongeza kinga za mwili na Ukakamavu wa misuli.

4. HUTOA VIRUTUBISHO VINGI ZAIDI KWA AJILI YA NGOZI.

21/12/2025

Samaki aina ya *SEA STAR (Starfish)*

Amebeba VIRUTUBISHO VYA KUTOSHA:

1. PROTINI KWA WINGI.
2. MAFUTA AINA YA Omega-3 Fatty Acids
3. MADINI AINA YA Zinc, Magnesium, and Potassium ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuongeza kinga za mwili na Ukakamavu wa misuli.
4. HUTOA VIRUTUBISHO VINGI ZAIDI KWA AJILI YA NGOZI.

21/12/2025

JUST SORRY CAN HEAL AND CHANGE EVERYTHING.

TABIA 18 ZINAZOKUUA POLEPOLE: 1. Kulala kidogo sana au kupitiliza kiasi. 2. Kuzidisha matumizi ya dawa. 3. Kutoanza au k...
13/12/2025

TABIA 18 ZINAZOKUUA POLEPOLE:

1. Kulala kidogo sana au kupitiliza kiasi.
2. Kuzidisha matumizi ya dawa.
3. Kutoanza au kuacha kufanya mazoezi.
4. Kula chakula kupita kiasi.
5. Kutoshiriki katika shughuli za kijamii.
6. Kutumia muda mwingi kwenye simu au runinga (skrini).
7. Kutumia sukari au chumvi nyingi kupita kiasi.
8. Kufanya kazi kupita kiasi (kujichosha).
9. Kukosa muda wa kupumzika.
10. Kuendelea kubaki kwenye mahusiano yenye sumu (yasiyo na afya).
11. Kukosa mwanga wa jua.
12. Kuwa na mawazo hasi kila wakati.
13. Kukaa kitako kwa saa nyingi mfululizo.
14. Mkao mbaya wa mwili (wakati wa kukaa au kusimama).
15. Kutumia pesa kabla ya kuzipata.
16. Unywaji wa pombe uliokithiri.
17. Kuishi maisha bila malengo (kufuata mkumbo tu).
18. Kuwa na tabia ya ukali au hasira kila wakati.

Address

Tanzania 🇹🇿
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255769108108

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumaini Hopes. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tumaini Hopes.:

Share