19/03/2026
Happy Birthday .bimbiga
On behalf of everyone at RACAS Foundation, we celebrate you today with gratitude and joy. Your dedication, passion, and positive spirit make a meaningful difference in our work and in the lives of the children, young people, and women we serve.
You consistently show professionalism, creativity, and kindness—qualities that inspire your colleagues and strengthen our team.
May your special day be filled with love, laughter, and moments that become cherished memories. We wish you good health, renewed energy, and continued success in all your personal and professional endeavors.
May the year ahead bring opportunities that help you grow, achieve your goals, and fulfill your dreams.
Happy Birthday once again!!
//
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Lydia!!
Kwa niaba ya RACAS Foundation, tunakupongeza leo kwa faraja na furaha. Uaminifu wako, shauku, na adhma yako chanya vinafanya tofauti kubwa katika kazi yetu na katika kutetea maisha na ndoto ya watoto, vijana, na wanawake kutimia na kuwa kweli k**a ilivyo katika dhamira ya
Utendaji kazi wako, kujitoa na jitihada zimekuwa chachu ya maendeleo ya taasisi na kioo Kwa wengine na kupata pashawa ya utendaji kazi.
Tunakutakia siku yako maalum iwe yenye upendo, furaha, na kumbukizi katika Yale mazuri uliyoyafanya.
Uwe na afya njema, nguvu mpya, na mafanikio endelevu katika shughuli zako za kibinafsi na za kitaaluma. Mwaka ujao ukupe fursa za kukuza uwezo wako, kufikia malengo, na kutimiza ndoto zako na majukumu yako ya kila siku.
Heri ya siku ya kuzaliwa tena!!!!
bimbiga