22/06/2026
Are you ready to be part of the global conversation on sustainability? 🌍
Tomorrow, YUNA Tanzania in collaboration with United Nations Tanzania invites you to the Energy and Climate Transition Watch Party. As youth, understanding the shift toward clean energy and climate resilience is crucial for shaping our sustainable future.
Join us as we tune in, learn, and discuss the pathways to an eco-friendly tomorrow.
🗓 Date: Tuesday, 23rd June, 2026
⏰ Time: 10:00 AM - 11:00 AM
📍 Location: UN House, Mezzanine Floor
Let's gather, learn, and take charge of our climate destiny! See you there!
---------------------------------------------------------
Kesho, tarehe 23 Juni 2026, YUNA Tanzania kwa kushirikiana na United Nations Tanzania inakualika kushiriki Energy and Climate Transition Watch Party.
K**a vijana, ni muhimu kuelewa mabadiliko yanayoelekea matumizi ya nishati safi na namna ya kujenga ustahimilivu dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Maarifa haya ni muhimu katika kujenga mustakabali endelevu kwa jamii na dunia yetu kwa ujumla.
Jiunge nasi tunapotazama, kujifunza na kujadiliana kuhusu njia mbalimbali za kufanikisha mpito wa nishati safi na kujenga mazingira salama, yenye afya na rafiki kwa mazingira.
🗓 Tarehe: Jumanne, 23 Juni 2026
⏰ Muda: Saa 4:00 Asubuhi – Saa 5:00 Asubuhi
📍 Mahali: UN House, Mezzanine Floor
Karibu tujifunze pamoja, tushirikiane mawazo, na kuchukua hatua kuelekea mustakabali wa kijani na endelevu. Tunakusubiri!