Mospemo GROUP limited

Mospemo GROUP limited service offered:
1.Selling and buying products
2.Events management and planning
3.Graphics design an

23/04/2026

Maisha ya sasa yamekuwa na changamoto nyingi sana.Unaweza kukutana na vita ya maneno yaani mtu anakusema tu wee au anaku...
01/03/2026

Maisha ya sasa yamekuwa na changamoto nyingi sana.

Unaweza kukutana na vita ya maneno yaani mtu anakusema tu wee au anakuletea maneno ya uchokozi ili umjibu au ukwazike na kuumia moyoni.

Watu wengi huwa wanajibu mashambulizi k**a haya kwa maneno makali zaidi kwa lengo la kukomesha.

Mambo hayaendi hivyo wapendwa.Moto hauzimwi kwa moto.

Jifunze kunyamaza kuna vita nyingine hauponi kwa kujibu mapigo.

Unaweza ukafikiri unamkomoa adui yako kwa kumjibu kumbe unampa "credit" kwa wewe kuongea ndio maana anataka tu uongee.

Kuna wakati hata ukijitahidi ujieleze kwa kujitetea kwa uwezo wako wote bado hautaeleweka k**a mtu ameamua asikuelewe.

Mtu anaweza kukusingizia vitu ambavyo hata haujawahi kufanya ili useme tu.

Na bahati mbaya ni kwamba kila unapojibu pigo moja unapoteza nguvu zako.

Unajua kuna mahali Yesu ilimbidi anyamaze si kwa sababu hakuwa na chakujibu ila kunyamaza ndo lilikuwa jibu lenyewe kwa wakati huo.

"Lakini aliposh*takiwa na wakuu wa makuhani na wazee,hakujibu hata neno"
Mathayo 27:12

Jifunze kunyamaza.
Mwl Deo Kabuje

Wisdom
20/01/2026

Wisdom

Copied !!!The Senegalese/Liverpool star player, Sadio Mane, who earns approximately $10.2 million annually was spotted c...
19/01/2026

Copied !!!

The Senegalese/Liverpool star player, Sadio Mane, who earns approximately $10.2 million annually was spotted carrying a cracked iPhone... Hear his response to the criticism:

"Why would I want ten Ferraris, 20 diamond watches and two jet planes? What would that do for the world? I starved, I worked in the fields, I played barefoot, and I didn't go to school. Now I can help people. I prefer to build schools and give poor people food or clothing.

I have built schools [and] a stadium; we provide clothes, shoes, and food for people in extreme poverty. In addition, I give 70 euros per month to all people from a very poor Senegalese region in order to contribute to their family economy.

I do not need to display luxury cars, luxury homes, trips, and even planes. I prefer that my people receive a little of what life has given me,".

SADIO MANE

Hisia huwa hazidumu,upendo unaotokana na hisia pia haudumu.Upendo ni uchaguzi na maamuzi ya mtu kupenda."Kwa maana jinsi...
16/01/2026

Hisia huwa hazidumu,upendo unaotokana na hisia pia haudumu.

Upendo ni uchaguzi na maamuzi ya mtu kupenda.

"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee...... [yoh 3:16]

Usisubiri mpaka uwe na hisia ndio upende badala yake chagua kupenda.

Upendo sio kipawa au kipaji bali ni tunda la Roho.

Mwl Deo Kabuje
+255 673 074 697

14/01/2026

"Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu"

Yakobo 1:22

Watu wengi hupenda matokeo ya upendo bila kuzungumzia  kinachozalisha upendo.Ni muhimu kuelewa kuwa hakuna namna utauona...
20/12/2025

Watu wengi hupenda matokeo ya upendo bila kuzungumzia kinachozalisha upendo.

Ni muhimu kuelewa kuwa hakuna namna utauona upendo wa kweli(agape) bila Roho mtakatifu.

Roho mtakatifu ni mti unaotoa tunda(matokeo) la upendo.

"Lakini tunda la Roho ni upendo,...Wagalatia 5:12

Kuna vitu vitatu hapa lazima uelewe, kilichobeba au kuzalisha (Roho mtakatifu) ,kinachozaliwa(Upendo) na matokeo ya kinachozaliwa.

Wengi wanapenda matokeo ya upendo ambayo ni haya;

"Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;

1 Wakorintho 13:4

Huwezi kuwa na uvumilivu,kutohesabu mabaya,kutohusudu,kutotakabali,ukamilifu bila kumtaka Roho mtakatifu.

Unamuhitaji Roho mtakatifu Kwanzaa.

Mwl
+255673074697

13/12/2025

*ITAZAME VIDEO HII KISHA TAFAKARI*

_Mungu Atukuzwe na Sisi Tutakatifuzwe_

Maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona.2 Wakorintho 5:7Mwl
21/10/2025

Maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona.

2 Wakorintho 5:7
Mwl

18/10/2025

Waefeso 5:25

"Enyi waume, wapendeni wake zenu, k**a Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;

Husbands, love your wives, even as Christ also loved the church, and gave himself for it;

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0676776317

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mospemo GROUP limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mospemo GROUP limited:

Share