Communication and Transport Workers Union of Tanzania

Communication and Transport Workers Union of Tanzania Chama Cha Wafanyakazi wa Mawasilino na Uchukuzi Tanzania, Kwa Maisha na Mazingira bora ya ajira. Pata Msaada wa kisheria, Elimu juu ya haki zako za Ajira.

Katika kipindi hiki muhimu kuelekea katika mkutano mkuu wa wafanyakazi   # ambao hufanyika kila mwaka mwezi wa sita, mwa...
15/05/2026

Katika kipindi hiki muhimu kuelekea katika mkutano mkuu wa wafanyakazi # ambao hufanyika kila mwaka mwezi wa sita, mwaka huu agenda kubwa inayojadiliwa ni kutengenezwa kwa sheria ya kuwatambua wafanyakazi wa majukwaa(mitandao) wakiwemo wale wanaotumia bolt na uber ambao n madereva…kwetu chama k**a watoa huduma kwa wafanyakazi wa Usafiri hili n tukio kubwa na la ukombozi..majadiliano mbali mbali yanaendelea kuwaleta pamoja wafanyakazi na wawakilishi wa wafanyakazi wa majukwaa( platform workers ) kujiandaa kea namna ya kupeleka mahitaji yao katika mkataba unaopendekezwa..pichani ni Afisa elimu Msaidizi wa chama akiwa jijini nairobi nchini Kenya akiwa n muwakilishi pekee wa Tanzania bi Nice Amon ,katika mkutano unaowakutanisha nchi zaidi ya 40 kuleta pamoja mapendekezo yao kabla ya mkutano mkuu mwezi wa sita **ati_ya_vijana_tucta .tanzania

02/05/2026
MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2025/2026 KUTOKA IDAYA YA UHASIBU BI:KHADIJA ADAM MKUNDAWANTU.COTWU TANZANIA MWANACHAMA KWANZA ...
02/05/2026

MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2025/2026 KUTOKA IDAYA YA UHASIBU BI:KHADIJA ADAM MKUNDAWANTU.

COTWU TANZANIA MWANACHAMA KWANZA HUDUMA IENDELEE

T-SHIRTS ZETU MWAKA HUU ZA MEI-MOSI 2026 ni 🔥
01/05/2026

T-SHIRTS ZETU MWAKA HUU ZA MEI-MOSI 2026 ni 🔥

01/05/2026

Umoja wa madereva wanawake wenye ulemavu waendesha bajaji wameshiriki MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI,

01/05/2026

COTWU TANZANIA 🇹🇿 TUNASHIRIKI VYEMA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.

01/05/2026
01/05/2026

Wafanyakazi mbalimbali wakiwa katika kusanyiko la maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani

COTWU TANZANIA TUNASHIRIKI VYEMA.

 **ano
01/05/2026

**ano

20/04/2026

Hivi ndivyo ubao wa matangazo Makao Makuu unavyoonekana hadi Mwezi Machi.
Tunapoelekea kilele cha sikukuu ya Wafanyakazi Duniani MEIMOSI 2026.

CHAMA KINAWATAKIA MAANDALIZI MEMA YA MEI MOSI 2026.

COTWU TANZANIA MWANACHAMA KWANZA HUDUMA IENDELEE.

Address

P. O. BOX, SOFIA KAWAWA/BIBI T**I Road ROAD, MNAZI MMOJA
Dar Es Salaam
13920

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Communication and Transport Workers Union of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category