JAMII YANGU

JAMII YANGU njoo tuungane kwa pamoja kuisaidia jamii inayotuzunguka njoo tuwasaidie yatima . 0789885897

14/12/2025

Tuliweza kufarahi kidogo kwaajili Yao MUNGU awabariki tutaonana wakati mwingine tunawapenda sana hilo tu...

14/12/2025

Love

03/12/2025

HUYU MTOTO ANA MIAKA 10 ANASOMA DARASA LA TATU SHULE YA MSINGI KANIKELELE ANAITWA EZEKIA KUTOKA MKOA WA NJOMBE WILAYA YA MAKAMBAKO MTAA WA ILANGA MOTO

WAMEJARIBU KUMPELEKA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA NA IKONDA NA HATA RUFAA YA NJOMBE NA HOSPITAL YA WILAYA YA MAKAMBAKO LAKINI TATIZO HALIJAONEKANA
KWA VIPIMO WALIVYOVIFANYA

MAMA MZAZI WA MTOTO ANAYEITWA DETTY TUKELAGE MWENYE UMRI WA MIAKA 30 MWENYE MTOTO MMOJA HUYO ANAYEUMWA HAPO PICHANI

MPIGIE NA UMTUMIE MCHANGO WAKO
0748 711 811
VODACOM MPESA

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Telephone

+255789885897

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAMII YANGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share