08/01/2026
"Maskini kila wakati hufikiria na kulenga jinsi ya kubana matumizi, wakati matajiri hufikiria na kulenga jinsi ya kuanzisha miradi mipya, kutafuta fursa, na kuchukua hatua kabla ya matatizo kutokea. Ni aina ya maarifa ambayo si kila mtu anaielewa."