21/05/2024
Shalom Shalom mtu wa Mungu 🙏
🪴 Mungu ametupa nafasi nyingine ya kumfanyia Ibada ya Sifa “ Back To Church S03 Kwa Mwaka Huu, karibu sana wewe na rafiki yako.
🪴 Pia Nipende kukukaribisha Kuwa sehemu ya chombo cha kueneza habari hizi njema kwa Mataifa, kwa njia ya kusambaza hili tangazo kwa mitandao yako na Mungu atakubariki.
⛪️ : KKKT USHARIKA WA TANDIKA
🗓️ : 26/05/2024
⏱️ : Saa 9:00 - 12:30 Jioni
* || Awakening*