Uncle A Simba Geniu's Filamu

Uncle A Simba Geniu's Filamu Kutowa uduma kwa huma na elimu
(1)

HISTORIA YA CHANZO CHA ADHANAAdhana ilitokana na NDOTO aliyo oteshwa swahaba Abdullah bin Zaydi,Nikatika mwaka wa kwanza...
15/11/2023

HISTORIA YA CHANZO CHA ADHANA

Adhana ilitokana na NDOTO aliyo oteshwa swahaba Abdullah bin Zaydi,

Nikatika mwaka wa kwanza wa hijra ya mtume (s.a.w) kuhamia madina
Siku moja mtume alikaa na maswahaba zake na akawataka ushauri nini wafanye pindi utakapo wadia muda wa swala?

Akashauri mmoja wao, akasema tunyanyue bendera utakapo fika muda wa swala

Na mwingine akashauri, tuwashe moto juu ya vichuguu vya milima.

Na wengine wakashauri kwamba tupige tarumbeta k**a wanavyofanya mayahudi,

Na wengine wakasema tugonge kengele k**a wafanyavyo manaswara

Na mwingine akashauri kwamba tutumie ulingano,

Baasi mtume hakuafikiana na rai zao wote walioshauri ispokuwa huyu wamwisho aliyesema tutoe ulingano,

Baasi akawa sasa mmoja wa walinganiaji aitwaye Abdullah bin Zaydi baina yake na kulala kwake ghafla akamzukia mtu ndotoni akamfundisha ADHANA baasi alipozinduka akampa habari mtume juu ya ndoto yake,

Baasi mtume akamuambia hakika yoo ni ndoto ya kweli,
Baasi Mtume (s.a.w) akamuamrisha Abdullah bin Zaydi amfundishe ADHANA hiyo Bilaali bin Labbaah,

Baasi aliposikia sayyidnaa Umar juu ya ndoto ya Abdullah bin Zaydi Akasema Umar kumuambia bwana mtume (s.a.w) kwamba Wallah (naapa) nimeona ndotoni mfano wa ndoto ya Abdullah bin Zaydi,

Baasi Akazidisha Bilaal ktk swala ya Asubuhi
( الصلاة خير من النوم مرتين)
swala ni bora kuliko usingizi
Na akaliafiki hilo mtume(s.a.w)

Ambalo lengo la ADHANA ni kumzindua aliye ghafilika, na kumkumbusha aliyesahau ili uwe mkusanyiko kwa wote,

Follow ukurasa wangu ili upate story nyingi zaidi sisi ndio wanasayansi bwana.
والله أعلم.
By: Uncle A simba Geniu's.

MCHUNGAJI mmoja tajiri  alinunua gari jipya na aliamua kumpa mmoja wa waumini wa kanisa lake, hakuwa amemfikiria  mtu yo...
21/07/2023

MCHUNGAJI mmoja tajiri alinunua gari jipya na aliamua kumpa mmoja wa waumini wa kanisa lake, hakuwa amemfikiria mtu yoyote kwenye mawazo yake laaasha!! ila aliamua kuweka ahadi ya kwamba atampatia yule ambaye atakuwa na IMANI iliyo imara.,

Muda wa ibada baadaye ulifika maana huwa huanza ibada saa 11 pm, alisimama mbele na kusema, "K**a unajua kwamba utaweza kuninunulia mimi gari kesho, tafadhali simama na miguu yako", hapakuwa na mtu ambaye alisimama, alirudia tena, "K**a unajua kwamba una amini kwamba Mungu anaweza kukutumia wewe na ukaninunulia mimi gari, simama kwa miguu yako mwenyewe, lakini kukawa bado hakuna mtu aliyesimama

Alisema hivyo mara tatu, na mzee mmoja masikini alisimama, ndipo mchungaji alipomwambia mzee yule kwamba njoo mbele ya waumini, alifika mpaka madhabahuni na mchungaji alitoa FUNGUO za gari na kumkabidhi yule mzee maskini, na kusema kwa sababu umeamini kwamba Mungu anaweza kukutumia wewe kuninunulia gari kesho,leo usiku MUNGU amekupa gari jipya, mzee yule maskini hakuwa hata na mia kwenye akaunti yake ya Banki ila alikuwa akimwamini MUNGU kwamba ipo siku yeye atatumika kumnunulia Mchungaji gari, na hiyo ndio iliyomsababishia kuchukua gari mpya ya brown usiku huo,

Nataka kusali kwa mtu ambaye anasoma STORY HII, kwa yule tu ambaye atakuwa ana niamini mimi, na ukasema amén, utaona kile kitu ambacho ulikuwa ukimwomba MUNGU kila wakati nakupa siku 7 kutoka sasa WATU WATAKUJA KUSHEREHEKEA PAMOJA NA WEWE MAFANIKIO YAKO, kwa sababu Mungu amekukumbuka wewe na AKATIMIZE HAJA YA MOYO WAKO,. AMEN K**A UNA AMINI,

SHARE ukurasa huu kwa rafiki zako

😲😭INASIKITISHA SANA😲😭Mzee mmoja alikuwa ndani ya gari moshi, alisimama na kuwaambia abiria, "YESU ANAKUJA HIVI KARIBUNI!...
21/07/2023

😲😭INASIKITISHA SANA😲😭

Mzee mmoja alikuwa ndani ya gari moshi, alisimama na kuwaambia abiria,

"YESU ANAKUJA HIVI KARIBUNI!" Mwanamke mmoja alisimama na kupaza sauti,

"Nyamaza wewe mzee umechanganyikiwa ee, haujui chochote wewe na hata Yesu wako hayupo.

"Yule mzee alipatwa na AIBU kisha akaamua kukaachini,.

Lakini Mungu aliendelea kuusumbua moyo wa wa yule mzee, na aliinuka tena, na kuendelea kuzungumza juu ya kuja kwa Yesu.

Alitii sauti ya Mungu na akasimama tena akisema,

"Yesu anarudi,

Tunahitaji kutubu dhambi zetu na kumkubali leo.

"Ndipo yule mwanamke ambaye alikuwa alikuwa hapendi kusikia habari za ujio wa yesu, aliamua kuamka pale alipokuwa amekaa pamoja na mwanae, na kumsogelea vizuri yule mzee masikini, na alianza kumshambulia kwa maneno makali,.

Wakati anaendelea kumshambulia yule mzee maskini kwa maneno ya kubu, mtoto wake akamwambia. ,

"Mama acha kumfokea huyu mzee kwani, yeye ametumwa kutoka kwa Mungu.

"Ndipo yule mwanamke alipoanza kupiga magoti na kuanza kulia! 😭 Mzee huyo akamwuliza, "Unalia nini?"

Mwanamke huyo alisema:

"Mwanangu alikuwa (bubu) na sasa anaongea!"

Maadili ya hadithi: haijalishi unakabiliwa na nini maishani usiache kumwamini Mungu.

Na usiwe na shughuli nyingi tafadhali shiriki hii katika vikundi 5 tofauti vya Facebook kwa sababu katika dakika chache zijazo kutoka sasa muujiza mkubwa utatokea katika maisha yako, MUNGU YU HAI!,

Andika MUNGU NI MZURI kwenye maoni!

Ukurasa huu itakupa kila mara mambo mazuri .kazi kwako ku follow ukurasa wetu huu🤙

A.G company MOVIE'S
17/05/2023

A.G company MOVIE'S

Address

Dar Es Salaam
TABATA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uncle A Simba Geniu's Filamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Uncle A Simba Geniu's Filamu:

Share