Warehouse Christian Center

Warehouse Christian Center MAFUNDISHO YA KINA YA NENO LA MUNGU KWA USAHIHI - NENO LA MUNGU, NDOA, MAHUSIANO YA VIJANA NA UCHUMBA
(2)

09/08/2026

WCC - SUNDAY SERVICE 09 AUGUST 2026 SECOND SERVICE

BADO HAUJACHELEWA IBADA ITAANZA SAA INE MPAKA SAA 7:00 MCHANAUSIPANGE KUKOSA, HAKIKA UTABARIKIWA
09/08/2026

BADO HAUJACHELEWA IBADA ITAANZA SAA INE MPAKA SAA 7:00 MCHANA

USIPANGE KUKOSA, HAKIKA UTABARIKIWA

Mwanamke ana nguvu ya ajabu…Nguvu ya kubadilisha maisha ya mwanaume.Anaweza kumchukua mwanaume asiyeeleweka, asiye na mw...
09/08/2026

Mwanamke ana nguvu ya ajabu…
Nguvu ya kubadilisha maisha ya mwanaume.

Anaweza kumchukua mwanaume asiyeeleweka, asiye na mwelekeo na kwa maneno yake, akamjenga akawa mtu wa maana.

Lakini pia… anaweza kumchukua mwanaume aliyesimama imara na kwa maneno hayo hayo, akamvunja kabisa.

Swali ni hili: Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Maneno yako yanafanya nini? Yanajenga au yanabomoa?

Biblia inatukumbusha:
✨ Abigaili alijenga kwa hekima akaokoa maisha na hatima ya Daudi.

💔 Delila alibomoa kwa ushawishi akamdhoofisha Samsoni mpaka akaanguka.

Chagua kuwa sauti ya uhai. Chagua kuwa sababu ya mtu kusimama tena.

Kwa sababu maneno yako yanaweza kuwa mwanzo wa ushindi… au mwanzo wa kuanguka.

Mchungaji Subira Mitimingi

09/08/2026

SUNDAY SERVICE - AUGUST 9, 2026

08/08/2026

NI KESHO KATIKA IBADA KUBWA YA KUMSHUKURU MUNGU.

WYC - CHOIR WAMEKUANDALIA UZINDUZI WA NYIMBO MBILI UTAOAMBATANA NA IBADA YA SHUKRANI KUFIKISHA MIAKA 7 YA KWAYA YA VIJANA

HII SIO YA KUKOSA, IBADA ITAANZA SAA INE KAMILI ASUBUHI

08/08/2026

MWANAMKE ANAO UWEZO WA KUMBADILISHA MWANAUME ASIYEFAA NA KUMFANYA AFAE, LAKINI MWANAMKE ANAO UWEZO WA KUMVURUGA MWANAUME ALIYEKUWA ANAFAA

WYC CHOIR - WAZEE WA BURUDANI KWA YESU WANAKULETEA IBADA KUBWA YA SHUKRANI IKIAMBATANA NA UZINDUZI  WA NYIMBO MBILI MPYA...
08/08/2026

WYC CHOIR - WAZEE WA BURUDANI KWA YESU WANAKULETEA IBADA KUBWA YA SHUKRANI IKIAMBATANA NA UZINDUZI WA NYIMBO MBILI MPYA

IBADA ITAANZA SAA 4:00 ASUBUHI HADI SAA 7:00 MCHANA

KARIBU TUMSIFU NA KUMCHEZEA MUNGU

WCC - MBEZI BEACH

Ilikuwa ni wakati wa kipekee na uliojaa baraka kushiriki katika Kongamano la Kwanza la Kanisa la Sayuni Airport. Nawashu...
08/08/2026

Ilikuwa ni wakati wa kipekee na uliojaa baraka kushiriki katika Kongamano la Kwanza la Kanisa la Sayuni Airport. Nawashukuru sana uongozi wa kanisa pamoja na wanawake wote kwa mwaliko na moyo wenu wa kipekee.

Somo: Nafasi ya Mwanamke katika Jamii, Kanisa na Familia

07/08/2026

VIFAA VYA UJENZI AMEPEWA MWANAMKE NA SIYO MWANAUME

Mwanamke amepewa uwezo wa kujenga au kubomoa kwa maneno yake. Mara nyingi, maneno ya faraja, heshima na hekima hujenga upendo, amani na mshikamano ndani ya ndoa na familia. Vivyo hivyo, maneno ya hasira, dharau na matusi yanaweza kuharibu mahusiano na kuondoa furaha ya familia.

Changamoto inayojitokeza kwa baadhi ya wanawake ni kutumia vibaya uwezo huo kwa kuwatamkia wenzi wao na watoto maneno ya kuumiza, jambo ambalo linaweza kusababisha migogoro, kuvunja mawasiliano na kudhoofisha msingi wa familia. Hata hivyo, hali hii si ya wanawake pekee; wanaume pia wana jukumu la kutumia maneno yenye kujenga badala ya kubomoa.

Familia imara hujengwa na mawasiliano yenye heshima, upendo na busara. Kila mmoja ana wajibu wa kuhakikisha kwamba maneno anayoyasema yanajenga, yanahimiza na kuleta amani badala ya kuharibu mahusiano.

MCHUNGAJI SUBIRA MITIMINGI

IJUMAA HII
04/08/2026

IJUMAA HII

Address

Mbezi Beach, Rafia Near Africana
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 16:00
Sunday 07:00 - 14:00

Telephone

+255713183939

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Warehouse Christian Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share