Watoto Foundation TZ

Watoto Foundation TZ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Watoto Foundation TZ, Non-Governmental Organization (NGO), Msasani, Dar es Salaam.

09/04/2024
Baada ya Kupewa Takwimu ya Watoto wenye uhitaji wa Vitendea kazi Sisi K**a Tasisi ya Watoto Foundation Tulitembelea Shul...
01/02/2024

Baada ya Kupewa Takwimu ya Watoto wenye uhitaji wa Vitendea kazi Sisi K**a Tasisi ya Watoto Foundation Tulitembelea Shule Ya Msingi Tengerea,Kata ya Tengerea Wilaya ya Mkuranga na Kusaidia watoto 180 Uniform, Ikiwa ni sehem ya Dhamira zetu katika Kata Hii, Vivyo hivyo Tulipata shukrani za dhati kwa Mh Hawa Mchafu(MB) Mbunge viti maalum Mkoa wa Pwani, Sambamba na Mh diwani wa Tengerea, Mh. Shabani Manda

https://www.instagram.com/p/C2zcQ-gK01W/?igsh=MnFicjNqNTR2eWds

Watoto Foundation TZ  tuliahidi na tumetekeleza
01/02/2024

Watoto Foundation TZ tuliahidi na tumetekeleza

Uhuru Day
09/12/2023

Uhuru Day

Follow us in instagram
28/11/2023

Follow us in instagram

27/11/2023

C.E.O wa Watoto Foundation TZ , ndugu Ally Pingizi

Katika Kutambua Umuhimu wa Elimu Na sisi K**a wadau wa Maendeleo ya watoto Tumetembelea Shule ya Msingi Sufiani,Kata ya ...
27/11/2023

Katika Kutambua Umuhimu wa Elimu Na sisi K**a wadau wa Maendeleo ya watoto Tumetembelea Shule ya Msingi Sufiani,Kata ya Mbezi wilaya ya Mkuranga Na Kusaidia Vitendea kazi(Vifaa vya Shule), Kwa wanafunzi wapatao 200,Kila mwanafunzi Tulimpatia Madaftar 5, Peni penseli na Majaradio Kuanzia Darasa la Awali mpaka Darasa La saba Hii ni Adhima yetu Tuliyo ahidi ktk Mashule K**a Sehemu ya Mchango wetu kwa Watoto wasiomudu Gharama za Masomo. Watoto Foundation, Kwa Msaada wa Watoto🇹🇿

Address

Msasani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Watoto Foundation TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Watoto Foundation TZ:

Share