24/09/2026
🎥 HIGHLIGHTS | SEMINA MAALUM KWA WAFANYABIASHARA WA HARDWARE
Ilikuwa ni siku ya kujifunza, kubadilishana uzoefu na kujenga biashara zenye mifumo imara! 🔥
Kupitia , wafanyabiashara wa hardware walikutana na Eng. Kabenda Balete – Mshauri wa Biashara, katika mafunzo yaliyolenga Namna ya Kujenga Mifumo Imara ya Biashara; kuanzia usimamizi wa mauzo, stock, fedha, wateja hadi matumizi ya mifumo ya kidigitali katika kufanya maamuzi bora ya biashara.
Asante Shananga Group kwa kuwa mwenyeji, pamoja na Shananga Foundation, LBS Foundation, UzaDigit na Datapodcast kwa kushirikiana kufanikisha tukio hili.
Biashara haikui kwa juhudi pekee — inahitaji mifumo.
🎬 Tazama baadhi ya matukio yaliyotokea kwenye semina.