BIC Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from BIC, Community Organization, Dar es Salaam.

30/01/2026
04/01/2026

❤️

11/10/2025

Wakati mwingine maisha yanatupatia changamoto kubwa kuliko tulivyowahi kufikiria. Huyu kaka anapitia kipindi kigumu sana kiafya — hali yake inazidi kuwa mbaya kila siku, lakini bado ana matumaini kwamba atapona na kurudi kuishi maisha ya kawaida k**a sisi wengine.

Tunaweza kufanya jambo dogo, lakini lenye maana kubwa kwake. Mchango wako, hata kidogo, unaweza kuwa mwanga katika giza analopitia sasa. 🙏

K**a una uwezo, tafadhali jitokeze kusaidia. Wacha tumwonyeshe kwamba bado kuna upendo, bado kuna binadamu wenye huruma, na bado kuna matumaini. ❤️

Address

Dar Es Salaam
16102

Telephone

+255747000075

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BIC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share