Good Hope for Orphans and Community Rescue Foundation

Good Hope for Orphans and Community Rescue Foundation GOOD HOPE FOR ORPHANS AND COMMUNITY RESCUE FOUNDATION - GOHOCORF

GOHOCORF Tumeandaa Charity Event itakayofanyika Miono Chalinze, Mkoa wa Pwani katika Kituo Cha watoto walemavu (HOPES DI...
01/10/2024

GOHOCORF Tumeandaa Charity Event itakayofanyika Miono Chalinze, Mkoa wa Pwani katika Kituo Cha watoto walemavu (HOPES DISABILITIES CENTER) Kwa Mchango wa 50,000/ Au zaidi, Utakua umejilipia Nauli, Mchango wa Mahitaji na kula pamoja na watoto.

https://chat.whatsapp.com/Ba6ImeEIls9BnXbHhpARgz

Usikae Nyumbani Bila Ujuzi wowote, wasiliana nasi Ujifunze Welding( Kuchomelea) kwa bei nafuu na Ada yako inatumika Kuje...
06/09/2024

Usikae Nyumbani Bila Ujuzi wowote, wasiliana nasi Ujifunze Welding( Kuchomelea) kwa bei nafuu na Ada yako inatumika Kujenga karakana na Kusaidia wahitaji. Nipigie: 0653801103

We kindly need your small Donation to keep the NGO running, Peke Yetu atuwezi Kuna watu wengi tunahitaji kuwafikia, Kuna...
14/05/2023

We kindly need your small Donation to keep the NGO running, Peke Yetu atuwezi Kuna watu wengi tunahitaji kuwafikia, Kuna wadogo zetu yatima wapo chuo wanaomba ata ela ya kula naombeni sana tufanyike sadaka Kwa wengine na Mungu atawabariki.

Call: 0653801103

Tujumuike pamoja na Watoto wa Kituo Cha HoCET Mkuranga
10/05/2023

Tujumuike pamoja na Watoto wa Kituo Cha HoCET Mkuranga

30/03/2023

Ugonjwa wa unazuilika! Chakufanya: 🦇 Epuka kula nyama pori kwa mfano popo 🖐 Nawa mikono yako mara kwa mara kwa sabuni & maji tiririka 👨‍⚕️ Ikiwa…

Ungana nasi kwa mafunzo ya ujasiriamali wa kuchomelea/ Welding tutakayoyatoa kila mwezi kwa rika zote kwa ada ya 100,000...
25/11/2022

Ungana nasi kwa mafunzo ya ujasiriamali wa kuchomelea/ Welding tutakayoyatoa kila mwezi kwa rika zote kwa ada ya 100,000/ kila mwezi kuanzia Desemba 2022.Nafasi ni chache wasiliana nasi 0653801103

*BRING BACK TO THE COMMUNITY...Donate through: Bank Account; 0150669107700 CRDB Bank,  Account Name; Good Hope for Orpha...
07/09/2022

*BRING BACK TO THE COMMUNITY...Donate through: Bank Account; 0150669107700 CRDB Bank, Account Name; Good Hope for Orphans and Community Rescue Foundation......M-Pesa #; +255764919235, M-Pesa name; GOHOCORF Foundation.*

Its about Time Kids are about to Go back to School they Need Exercise Books, Uniforms, Socks and Bags your Donation Mean...
05/01/2022

Its about Time Kids are about to Go back to School they Need Exercise Books, Uniforms, Socks and Bags your Donation Means a Lot to make their Studies Easy. Donate or Call/Whatsapp: +255 653801103

Address

JAMHURI Street
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255653801103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Good Hope for Orphans and Community Rescue Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Good Hope for Orphans and Community Rescue Foundation:

Share