Tumeweza

Tumeweza The scope of this Organization is to extend all matters pertaining to legal aid in the entire community of Tanzania "SAY NO TO IMPUNITY"

Tanzania Organization for Legal Transformation is a non governmental, non partisan, non religious and not for profit sharing autonomous and independent civil organization established in 2015 and is governed by the laws of NGOs in Tanzania

The scope of this Organization is to extend all matters pertaining to legal aid in the entire community of Tanzania

We press for human rights obedience, rule of law and good governance.

“Tuanze kujenga Utajiri wa Taifa sasa hivi” Rais Samia
28/08/2024

“Tuanze kujenga Utajiri wa Taifa sasa hivi” Rais Samia



5. “Tunaposisitiza mabadiliko katika taasisi na mashirika ya umma tunalenga kulinda pesa za wananchi zilizowekezwa huko ...
28/08/2024

5. “Tunaposisitiza mabadiliko katika taasisi na mashirika ya umma tunalenga kulinda pesa za wananchi zilizowekezwa huko na kuleta maendeleo ya nchi yetu” Rais Samia



“Tuonyeshe tija kwanza ndani ya nchi kwa kufanya kazi nzuri wananchi waridhike ndiyo twende kuwekeza nje ya nchi” Rais S...
28/08/2024

“Tuonyeshe tija kwanza ndani ya nchi kwa kufanya kazi nzuri wananchi waridhike ndiyo twende kuwekeza nje ya nchi” Rais Samia



“TRA ikikusanya viwango viwango vya kodi visivyokuwa na malalamiko na kuwasaidia wawekezaji wa ndani, itavutia wawekezaj...
28/08/2024

“TRA ikikusanya viwango viwango vya kodi visivyokuwa na malalamiko na kuwasaidia wawekezaji wa ndani, itavutia wawekezaji wa nje na kutakuza mapato.” Rais Samia



“Mageuzi kwenye taasisi na mashirika ya umma ndiyo yanatela maendeleo, hivyo lazima tubadilike ili tukue.” Rais Samia   ...
28/08/2024

“Mageuzi kwenye taasisi na mashirika ya umma ndiyo yanatela maendeleo, hivyo lazima tubadilike ili tukue.” Rais Samia


3. “Tunaposema kufuta au kuunganisha mashirika huibuka hofu…, hatuwezi kulinda nafasi za watu wakati taasisi au shirika ...
28/08/2024

3. “Tunaposema kufuta au kuunganisha mashirika huibuka hofu…, hatuwezi kulinda nafasi za watu wakati taasisi au shirika fulani halizalishi.” Rais Samia



Sekta ya AfyaSerikali imeimarisha huduma za dharura na wagonjwa mahututi (Critical Care) ndani na nje ya Vituo vya Kutol...
11/08/2023

Sekta ya Afya
Serikali imeimarisha huduma za dharura na wagonjwa mahututi (Critical Care) ndani na nje ya Vituo vya Kutolea Huduma ambapo kiasi cha shilingi bilioni 279.6 zimetumika kutoka katika fedha ya UVIKO - 19.
Rais Samia anaendelea kuimarisha afya za Watanzania

Sekta ya Mifugo na UvuviKazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi inawafanya wafugaji na Wavu...
06/08/2023

Sekta ya Mifugo na Uvuvi
Kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi inawafanya wafugaji na Wavuvi kufanya shughuli zao kwa ufanisi zaidi na kujiongezea kipato mara dufu.



# Kaziiendele

Sekta ya Ujenzi na UchukuziRais Samia yuko kazini, na anafanya Mapinduzi makubwa ya kimiundombinu na kiutendaji kuongeza...
01/08/2023

Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi
Rais Samia yuko kazini, na anafanya Mapinduzi makubwa ya kimiundombinu na kiutendaji kuongeza ufanisi.



# Kaziiendele

31/07/2023

Zaidi ya shilingi bilioni 689.98 zimeshatolewa kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa shule, vituo vya afya, miundombinu na ununuzi wa vifaa tiba, ukarabati, upanuzi na uongezaji wa miundombinu ya usambazaji wa maji pamoja na kuwezesha kaya masikini kupitia mfuko wa TASAF.
Rais Samia yuko kazini, na kwa hakika kazi kubwa inafanyika.



# Kaziiendele

Serikali imeratibu na kufanikisha upatikanaji wa soko la bidhaa za Tanzania chini Ubelgiji, hadi sasa zaidi ya tani 4 za...
21/07/2023

Serikali imeratibu na kufanikisha upatikanaji wa soko la bidhaa za Tanzania chini Ubelgiji, hadi sasa zaidi ya tani 4 za dagaa kutoka Kigoma na tani 25 za mchele kutoka Mbeya zimeuzwa kila wiki
Rais Samia anatekeleza Diplomasia ya uchumi kwa Vitendo.



Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:30 - 18:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumeweza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tumeweza:

Share