ReadTanzania

ReadTanzania NGO
We promote reading culture in Tanzania, by doing library construction/refurbishment.

13/08/2026
12/08/2026

Maktaba ni sehemu muhimu katika kujenga mazingira bora ya kujifunzia. Shule inapokosa maktaba, wanafunzi hukosa sehemu maalumu ya kujisomea na kutafuta maarifa zaidi ya yale wanayopata darasani.

Uwepo wa maktaba unawapa wanafunzi fursa ya kujifunza kwa kujitegemea na kuongeza uelewa wao, jambo linalochangia kuboresha ufaulu wao.

Every student has a story to tell. Joshua Masheli Alphonce, a Form Two student at Minazi Mmoja Secondary School, shares ...
11/08/2026

Every student has a story to tell. Joshua Masheli Alphonce, a Form Two student at Minazi Mmoja Secondary School, shares how the library has helped him build confidence, improve his communication, and develop a stronger interest in reading. His experience shows how access to books can create opportunities to learn, build knowledge, and strengthen essential skills.

08/08/2026

Tunawatakia Heri ya Sikukuu ya Wakulima!

Kaulimbiu ya mwaka huu, “Tambua Soko: Ongeza Tija Kutekeleza Dira 2050,” inatukumbusha umuhimu wa maarifa katika kuongeza tija na kutambua fursa katika sekta ya kilimo.

Kusoma vitabu huongeza maarifa kuhusu kilimo, matumizi ya teknolojia na mbinu bora za uzalishaji. Kupitia maarifa haya, wakulima wanaweza kufanya maamuzi sahihi, kuongeza tija na kutumia fursa zilizopo kwa ufanisi.

Heri ya Sikukuu ya Nane Nane! Kaulimbiu ya mwaka huu, “Tambua Soko: Ongeza Tija Kutekeleza Dira 2050,” inatukumbusha umu...
07/08/2026

Heri ya Sikukuu ya Nane Nane!

Kaulimbiu ya mwaka huu, “Tambua Soko: Ongeza Tija Kutekeleza Dira 2050,” inatukumbusha umuhimu wa kuwa na maarifa sahihi katika kutambua fursa, kufanya maamuzi bora na kuongeza tija.

Kupitia kusoma na kujifunza, vijana hupata maarifa yanayowawezesha kuelewa mazingira yanayowazunguka, kutambua fursa, kukuza ujuzi na kutumia maarifa katika kutatua changamoto za kila siku.

Tunapojenga utamaduni wa kusoma na kujifunza tunaandaa kizazi chenye maarifa na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya taifa kuelekea Dira 2050.

Soma. Jifunze. Tambua fursa. Ongeza tija.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Kiluvya wakiwa maktaba  wakitumia zana za kidijitali kuongeza maarifa yao, wakisoma na k...
07/08/2026

Wanafunzi wa shule ya sekondari Kiluvya wakiwa maktaba wakitumia zana za kidijitali kuongeza maarifa yao, wakisoma na kujifunza kwa njia inayokwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia na mtaala mpya.

Matumizi ya teknolojia katika kujifunza yanawapa wanafunzi fursa ya kupata maarifa mapya na kutumia rasilimali mbalimbali za kidijitali kujisomea

05/08/2026

Every book teaches two lessons: what's written and what you discover for yourself.

Open a book today, reflect on its message, and share one lesson that stayed with you.

Behind every confident reader is a learning environment that encourages curiosity, participation, and growth. We are pro...
04/08/2026

Behind every confident reader is a learning environment that encourages curiosity, participation, and growth.

We are proud to share a reflection from a library teacher whose students continue to thrive through the Reading Club, highlighting the lasting impact of providing young people with opportunities to read and learn together.

Address

Oysterbay
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ReadTanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to ReadTanzania:

Shortcuts

Share