Youth Employment Solution - YES

Youth Employment Solution - YES Organisation engages in promoting youth employment everywhere in Tanzania.

14/11/2016

Afrosan is looking for Salesman & Sales Manager to work in Tanzania have experiences in Ceramics/ Sanitary Ware and construction material. please send your CV to [email protected]. the head office in Saudi Arabia

Ikiwa Serikali imesitisha ajira kwa kipindi cha miezi miwili ili kuondoa watumishi hewa, je kwa mtazamo wako unahisi baa...
23/06/2016

Ikiwa Serikali imesitisha ajira kwa kipindi cha miezi miwili ili kuondoa watumishi hewa, je kwa mtazamo wako unahisi baada ya kuondoa watumishi hewa tatizo la ajira litapata muarobaini Nchini Tanzania?

04/12/2015
Vijana wote kwa pamoja tuseme "Mimi NITAKULINDA" tupige vita ukatili wanaofanyiwa walemavu wa ngozi hapa nchini.. Vijana...
24/02/2015

Vijana wote kwa pamoja tuseme "Mimi NITAKULINDA" tupige vita ukatili wanaofanyiwa walemavu wa ngozi hapa nchini.. Vijana! Taifa lipo mikononi mwetu.

01/01/2015

Youth Employment Solution - Yes
Inapenda kuwatakia heri ya mwaka 2015. Timiza malengo yako na pia panga malengo mapya yenye tija kwa maisha yako na Taifa kwa ujumla.

17/10/2014

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Youth Employment Solution - YES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share