17/09/2024
SESDE Kwa kushirikiana na NIPE FAGIO, wameandaa siku ya usafi Duniani nchini Tanzania.
Kauli mbiu: " Yape nafasi maisha Kwa pamoja tujenge ulimwengu usiyo na Taka ambapo maisha yote yaweza kustawi".
Ukiwa k**a mdau WA Mazingira, Taasisi, Shirika mwana jamii, unakatibishwa kushirikiana nasi Kwa pamoja ili kuunda Dunia yenye afya endelevu Kwa kufanya usafi katika maeneo mbali mbali MWA Tanzania. .