Hope 4 Young Girls Tanzania

Hope 4 Young Girls Tanzania Hope 4 Young Girls Tanzania (H4YGT) is a small and growing not for profit Organization that helps an + 255 755 364 390 / 710 440 881

Tarehe 1 Juni 2026, Shirika la  lilipata heshima ya kushiriki Bungeni katika kikao cha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mae...
02/06/2026

Tarehe 1 Juni 2026, Shirika la lilipata heshima ya kushiriki Bungeni katika kikao cha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha 2026/2027, likiwakilishwa na Mkurugenzi wetu, Salama Kikudo, pamoja na Meneja wa Programu, Mawi Zahor.

Ushiriki huu unaonesha dhamira yetu ya kuendelea kushirikiana na Serikali na wadau mbalimbali katika kuendeleza ustawi wa jamii, usawa wa kijinsia, uwezeshaji wa wanawake na ulinzi wa makundi maalum.

Pamoja tunaendelea kujenga Tanzania jumuishi, yenye fursa sawa na maendeleo endelevu kwa wote.

Happy New Month✨As we begin this new month, we celebrate the power of collective action in transforming lives. Every opp...
01/06/2026

Happy New Month✨
As we begin this new month, we celebrate the power of collective action in transforming lives. Every opportunity created for a girl to access quality education opens doors to a brighter future, stronger communities, and sustainable development.

Yet, many girls still face barriers that limit their access to education and opportunities to reach their full potential. Continued support is essential to ensure that every girl can learn, grow, and build a better future for herself and her community.

Empower a Girl, Transform a community.

ESSENTIAL, NOT OPTIONALIn a time of growing social, economic, and health challenges, reproductive health rights and well...
01/06/2026

ESSENTIAL, NOT OPTIONAL

In a time of growing social, economic, and health challenges, reproductive health rights and wellbeing cannot be left behind.

Feminists, community organizers, young people, disability inclusion advocates, PLHIV networks, health practitioners, and reproductive justice actors from across Tanzania are coming together to share experiences, strengthen collaboration, and promote rights, dignity, wellbeing, and equitable access to SRHR information and services for all.

The 2nd National Forum on Reproductive Justice in Tanzania is a space for dialogue, solidarity, learning, and collective reflection on how to strengthen access to right-based quality sexual and reproductive health information and services within supportive and respectful communities.
Because health, dignity, and access to SRHR information and services are not optional, but essential, for the wellbeing and development of our communities.

✊🏾 Our health matters. Human dignity matters. Strong communities are built through inclusion, care, and shared responsibility.




Serikali inaendelea kusisitiza umuhimu wa wazazi na walezi kuwajibika katika kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya eli...
29/05/2026

Serikali inaendelea kusisitiza umuhimu wa wazazi na walezi kuwajibika katika kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya elimu na malezi bora. Elimu huanza nyumbani na ushirikiano kati ya familia, jamii na wadau wa maendeleo ni msingi wa kujenga kizazi chenye maadili, uwezo na ndoto za kufanikiwa.

Na sisi tunaamini kuwa kila mzazi ana nafasi kubwa ya kuwa chanzo cha mafanikio ya mtoto wake kupitia elimu. Tukiwekeza katika elimu ya watoto leo, tunajenga jamii salama, yenye usawa na maendeleo ya kesho. Tushirikiane kuhakikisha hakuna mtoto anayebaki nyuma kielimu.
🏚

Good menstrual hygiene is not a luxury it’s a right✨Every girl deserves access to safe menstrual products, accurate info...
29/05/2026

Good menstrual hygiene is not a luxury it’s a right✨
Every girl deserves access to safe menstrual products, accurate information, and a supportive environment to manage her period with dignity and confidence. While are celebrating Menstrual Hygiene Day, let’s break the stigma, raise awareness, and ensure no girl is left behind.

“Mnasema Waziri una mkakati gani? Lakini na nyie huko nyumbani mikakati yenu ni nini huko nyumbani?”Kauli hiyo ilitolewa...
28/05/2026

“Mnasema Waziri una mkakati gani? Lakini na nyie huko nyumbani mikakati yenu ni nini huko nyumbani?”

Kauli hiyo ilitolewa na Mheshimiwa waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,wanawake na makundi Dkt. Dorothy Gwajima alipokuwa akizungumza na wazazi pamoja na wanafunzi katika uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa kuhusu Maadili na Malezi Chanya ya Watoto yenye kauli mbiu: “Mtoto ni Malezi, Msingi wa Familia Bora kwa Taifa Imara” uliofanyika wilayani Handeni, mkoani Tanga kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.

Kupitia kampeni hii inayotarajiwa kutekelezwa katika mikoa yote ya Tanzania, jamii inaendelea kuhamasishwa kutambua kuwa malezi bora huanzia nyumbani. Kila mzazi, mlezi na mwanajamii ana wajibu wa kujenga mazingira salama yatakayowawezesha watoto kukua katika maadili mema, elimu bora na ndoto zenye mafanikio kwa mustakabali imara wa taifa letu.
🏚

27/05/2026
Eid Mubarak🌙Wishing everyone a joyful and blessed Eid filled with peace, love, happiness, and togetherness. May this spe...
27/05/2026

Eid Mubarak🌙
Wishing everyone a joyful and blessed Eid filled with peace, love, happiness, and togetherness. May this special day bring hope and blessings to you and your families.

Hon. Dr. Dorothy Gwajima (MP), on 23.05.2026 in Korogwe District, Tanga Region, while speaking with students and parents...
26/05/2026

Hon. Dr. Dorothy Gwajima (MP), on 23.05.2026 in Korogwe District, Tanga Region, while speaking with students and parents, emphasized the importance of communities embracing positive parenting and strong moral values as a foundation for building a generation with integrity, capability and a hopeful future.

She explained that the implementation of the second pillar of the National Development Vision 2050, which focuses on human capacity and social development, requires collaboration among families, communities, and stakeholders to ensure that children receive proper care and upbringing, quality education, healthcare services, and inclusive social protection systems.

She further emphasized that investing in children today has a lasting impact on the future. Children raised in safe environments with positive parenting and strong values grow with confidence, are empowered to achieve their dreams, and become catalysts for positive change within their communities. Through collective efforts, we can build a strong generation that contributes to sustainable development for families, communities, and the nation as a whole.

Let us build today’s children for a better Tanzania tomorrow.
🏚

25/05/2026

Handeni, Tanga | 24 Mei 2026

Malezi bora huanza nyumbani, na mtoto anayelelewa katika mazingira salama na yenye maadili hujenga msingi wa familia bora na taifa imara.

Kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, ikiongozwa na Kampeni ya Kitaifa ya Maadili na Malezi Chanya kwa Watoto ilizinduliwa rasmi chini ya kaulimbiu: “Mtoto ni Malezi: Msingi wa Familia Bora kwa Taifa Imara” Tuanzie Nyumbani.

Kampeni hii imelenga kuhamasisha wazazi, walezi na jamii kuhusu umuhimu wa malezi chanya, maadili mema na ulinzi wa watoto dhidi ya ukatili pamoja na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ambapo itatekelezwa nchi nzima hadi juni 30, 2026.

Sisi Hope 4 Young Girls tunaendelea kuunga mkono juhudi hizi kwa kufikisha elimu kwa jamii kupitia kampeni za nyumba kwa nyumba (Tuanzie Nyumbani) katika maeneo yote tunayofanyia kazi, kwa sababu tunaamini mabadiliko makubwa huanzia kwenye familia na jamii zinazowazunguka watoto.

Tuanzie nyumbani. Tulee kwa upendo. Tujenge kizazi chenye maadili kwa taifa lenye matumaini.

🏚

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hope 4 Young Girls Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Hope 4 Young Girls Tanzania:

Share