Tanzania Raod Safety Initiative

Tanzania Raod Safety Initiative We work on capacity building raising awareness of road safety inTanzania.

08/08/2026
25/06/2026

Road safety does not start when a road is opened it starts at the design stage.

Every road, bridge, and transport system must be planned with safety in mind to protect all road users: drivers, passengers, pedestrians, cyclists, and communities.

A safer design today means fewer crashes, fewer injuries, and saved lives tomorrow.

17/06/2026

Usalama barabarani ni haki ya kila mtu. 🚸

TARSI imeendesha mafunzo maalum ya usalama barabarani kwa watu wenye ulemavu wa kuona na kusikia, kwa lengo la kuwawezesha kutumia barabara kwa usalama na kuimarisha ushiriki wao katika jamii.

Tunaamini kuwa elimu ya usalama barabarani inapaswa kuwafikia watu wote bila ubaguzi. Kwa pamoja, tunaweza kujenga mazingira ya usafiri salama na jumuishi kwa kila Mtanzania.

12/06/2026
26/05/2026

We wish all muslims around the world Eid Al adh-haa

25/05/2026

Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani 2026/2027

TARSI tumefanikiwa kuendesha mafunzo maalum ya usalama barabarani kwa walemavu wa macho na viziwi, kwa lengo la kuongeza...
22/05/2026

TARSI tumefanikiwa kuendesha mafunzo maalum ya usalama barabarani kwa walemavu wa macho na viziwi, kwa lengo la kuongeza uelewa, usalama na ushirikishwaji wao katika matumizi salama ya barabara.

Tunaamini jamii salama inaanza kwa kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma katika elimu ya usalama barabarani. 💛

Tanzania

22/05/2026

Kila mtu anahaki ya kupatiwa elimu ya usalama barabarani

21/05/2026

Kila mtu anahaki ya kupata elimu ya usalama barabarani

Wanafunzi kutoka katika chuo cha ufundi na marekebisho kilichopo Yombo Dar es salaam,  ambao pia ni viziwi na walemavu w...
21/05/2026

Wanafunzi kutoka katika chuo cha ufundi na marekebisho kilichopo Yombo Dar es salaam, ambao pia ni viziwi na walemavu wa macho, wakifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa katika mafunzo ya usalama barabarani kwa makundi hayo maalumu

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 00:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 00:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Raod Safety Initiative posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share