Marafiki TZ Charity

Marafiki TZ Charity The idea its' that every single person can do something good, be it large or small, to improve the lives of others and positively change the world

MarafikiTZ tumejikita katika kuhudumia jamii kwa kusaidia kubadili hali ya maisha kwa makundi/ watu mbalimbali wenye mahitaji maalumu k**a vile watoto yatima, wajane na wazee. Kutokana na ukweli huu watu hawa hawatambuliwi sana kwenye jamii yao. Sisi k**a Marafiki tunawasaidia wajisikie kuwa sehemu ya jamii. Tunafanya huduma yetu kwa kujitolea. Ni hamu na wito binafsi ndio unaotusukuma kutumiza ju

kumu letu kwa jamii. Tunawakaribisha Marafiki wote wenye nia njema jushirikiana na sisi Kwa hali na mali.

Address

Makongo Juu
Dar Es Salaam

Telephone

0767759591

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marafiki TZ Charity posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Marafiki TZ Charity:

Share