TWC NGO

TWC NGO Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TWC NGO, Non-Governmental Organization (NGO), Dar es Salaam.

TWC NGO we focus on CONSCIOUSNESS AND CREATIVITY.....To Enlight, Educate, Inspire, Enrich, Edify, Illuminate, Nurture and Transform the World...Home of

CHUNYA TUMEJIANDAA KULETA MAENDELEO KATIKA SEKTA ZOTE - MH MASACHEMbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mheshimiwa Masache N. ...
02/05/2026

CHUNYA TUMEJIANDAA KULETA MAENDELEO KATIKA SEKTA ZOTE - MH MASACHE

Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mheshimiwa Masache N. Kasaka, amesema Chunya imejipanga kuleta maendeleo katika sekta zote kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, hususan wachimbaji wa madini ambao ni nguzo muhimu ya uchumi wa eneo hilo.

Akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika kongamano lililoandaliwa na Green Mining Awareness, Mheshimiwa Masache amesema serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayorahisisha shughuli za uchimbaji, hatua inayochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.

Katika kongamano hilo, wachimbaji pamoja na taasisi mbalimbali waliishukuru serikali kwa jitihada hizo, huku wakieleza changamoto zinazowakabili katika shughuli zao za kila siku. Mheshimiwa Masache aliahidi kuzibeba changamoto hizo na kuziwasilisha bungeni ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu.

Katika tukio hilo, Mheshimiwa Masache aliambatana na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mheshimiwa Batenga; Katibu Tawala Wilaya, Ndugu Anakleth Michombero; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chunya, Mheshimiwa Kelvin Nshishi; Diwani wa Kata ya Matundasi, Mheshimiwa Alphonce Maganga; Katibu wa CCM Wilaya, Ndugu Jockery Seleman; pamoja na Mwenyekiti wa Wanawake Wilaya Chunya, Ndugu Ezelina Mwakisole.

ANNUAL FESTIVAL *Primary Event Concept:* "Read, Reflect, Renew" - a celebration of books and environmental conservation....
27/11/2025

ANNUAL FESTIVAL
*Primary Event Concept:* "Read, Reflect, Renew" - a celebration of books and environmental conservation. Founded by

Green mining and literary awareness
27/11/2025

Green mining and literary awareness

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TWC NGO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share