CareandComfort2023

CareandComfort2023 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from CareandComfort2023, Non-Governmental Organization (NGO), P. O Box 35176, Dar es Salaam.

Best wishes on your birthday! Dkt Samia Suluhu Hassan Rais chaguo la watu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
28/01/2025

Best wishes on your birthday! Dkt Samia Suluhu Hassan Rais chaguo la watu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

including entire logo and current logo
10/01/2025

including entire logo and current logo

ALBUM OF 2024
10/01/2025

ALBUM OF 2024

09/01/2025
Kwa pamoja, tunaahidi kuinua watoto wanaopitia changamoto na kusaidia vijiji vinavyokabili wakati mgumu kwa kutoa suluhi...
07/01/2025

Kwa pamoja, tunaahidi kuinua watoto wanaopitia changamoto na kusaidia vijiji vinavyokabili wakati mgumu kwa kutoa suluhisho endelevu, elimu, na matumaini ya maisha bora.
//
Gemeinsam verpflichten wir uns, benachteiligte Kinder zu unterstützen und Dörfern in Not durch nachhaltige Lösungen, Bildung und Hoffnung auf eine bessere Zukunft zu helfen.
//
Together, we pledge to uplift children facing hardships and support struggling villages by providing sustainable solutions, education, and hope for a brighter future..kigombeye .kidz

Announcement: Partnership Between Care and Comfort (CACO) and Champ.Kids GermanyWe are delighted to announce the officia...
07/01/2025

Announcement: Partnership Between Care and Comfort (CACO) and Champ.Kids Germany

We are delighted to announce the official partnership between Care and Comfort (CACO), under the visionary leadership of our Founder and chief directing officer, Dr. Kigombeye Kulwa .kigombeye , and Champ.Kids Germany .kidz led by its inspiring Founder, Xenia Hugel.

This collaboration marks a new chapter in our shared mission to bring meaningful change to lives through compassion, dedication, and innovative solutions. Together, we aim to expand our reach and impact, creating sustainable opportunities for the communities we serve.
As we embark on this transformative journey, we encourage all members of CACO to continue standing with us, supporting our efforts, and contributing to the success of this partnership. United, we can achieve extraordinary things.

Let us remain steadfast in our commitment to care, comfort, and inspire hope. Together with Champ.Kids, the future holds endless possibilities!

“Alone, we can do so little; together, we can do so much.”

Thank you for your unwavering support. Let’s keep moving forward, stronger than ever!kidz

UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025Kwa wote wanaoifatilia CARE AND COMFORT (CACO) chini ya uongozi wa Rais na Mkurugenzi Mkuu, Dr....
31/12/2024

UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025

Kwa wote wanaoifatilia CARE AND COMFORT (CACO) chini ya uongozi wa Rais na Mkurugenzi Mkuu, Dr. Kigombeye Kulwa Kateko..kigombeye tunapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa msaada wenu wa dhati, ushirikiano, na imani yenu katika kazi zetu mwaka 2024. Tumefanikisha mengi kwa neema ya Mungu na juhudi za pamoja, na tunawashukuru kwa kuwa sehemu ya safari hii.

Tunapoukaribisha mwaka 2025, tunawatakia mwaka uliojaa amani, afya njema, na mafanikio makubwa. Huu ni mwaka wa fursa mpya na matumaini makubwa. Tutaendelea kujitoa kwa ajili ya kuboresha maisha ya jamii kupitia mbinu za kiafya zinazolenga lishe bora na kupambana na magonjwa yasiyoambukiza.

Tunaamini kwamba pamoja tutaweza kufanikisha zaidi! Safari hii ya mwaka mpya iwe yenye baraka tele kwenu na kwa familia zenu. Heri ya Mwaka Mpya 2025, na safari njema ya maendeleo na mafanikio!

CARE AND COMFORT (CACO)
inc

Kwa niaba ya timu nzima ya CARE AND COMFORT (CACO), tunapenda kukutakia heri ya kuzaliwa, Dr. Emmanuella Byera.Tunashuku...
29/12/2024

Kwa niaba ya timu nzima ya CARE AND COMFORT (CACO), tunapenda kukutakia heri ya kuzaliwa, Dr. Emmanuella Byera.

Tunashukuru kwa mchango wako wa kipekee katika kuboresha maisha ya watu na jamii. Siku yako ya leo iwe ya furaha, baraka, na mafanikio zaidi. Endelea kuwa mwanga kwa wengine na baraka kwa kila hatua unayochukua.

Hongera sana, na ufurahie siku yako kikamilifu!.kigombeye

Kwa niaba ya timu nzima ya CARE AND COMFORT (CACO), tunapenda kukutakia heri ya kuzaliwa, Dr. Emmanuella Byera. Tunashuk...
29/12/2024

Kwa niaba ya timu nzima ya CARE AND COMFORT (CACO), tunapenda kukutakia heri ya kuzaliwa, Dr. Emmanuella Byera. Tunashukuru kwa mchango wako wa kipekee katika kuboresha maisha ya watu na jamii. Siku yako ya leo iwe ya furaha, baraka, na mafanikio zaidi. Endelea kuwa mwanga kwa wengine na baraka kwa kila hatua unayochukua.

Hongera sana, na ufurahie siku yako kikamilifu!
kigombeye

 💥💥💥X CACO
19/12/2024

💥💥💥X CACO

Tunawashukuru Viongozi wote wa CARE AND COMFORT pamoja na viongozi wa SJMC-UDSM  kwa kufanikisha tukio hili Tuendelee ku...
19/12/2024

Tunawashukuru Viongozi wote wa CARE AND COMFORT pamoja na viongozi wa SJMC-UDSM kwa kufanikisha tukio hili Tuendelee kushirikiana kwa kila hari na mali na kwa kila hatua Tuko pamoja katika kuhakikisha kila kitu kinakuwa katika hari ya usawa🙏🙏

tunakushukuru sana mwenyekiti wa board ya wakurugenzi wa care and comfort kwa jitihada zako ulizoweza kuzionesha kuhakik...
12/12/2024

tunakushukuru sana mwenyekiti wa board ya wakurugenzi wa care and comfort kwa jitihada zako ulizoweza kuzionesha kuhakikisha unawafungua akili wejana wenzako,na wenzetu pia🙏

Address

P. O Box 35176
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CareandComfort2023 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to CareandComfort2023:

Share