CMPD Dar es Salaam

CMPD Dar es Salaam Chama Cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Dar es Salaam (CMPD)

Chama Cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Dar es Salaam (CMPD)
Tunasaidia Bodaboda kupata,
-Mikopo ya pikipiki, Bajaj, Guta pamoja na viwanja
-BIMA ya Afya
-Leseni

Eid Al-adha Mubarak
26/05/2026

Eid Al-adha Mubarak

PICHA: Baadhi ya viongozi wa Vituo vya Pikipiki, Chanika Jijini Dar es Salaam
19/05/2026

PICHA: Baadhi ya viongozi wa Vituo vya Pikipiki, Chanika Jijini Dar es Salaam

Leo Jumanne, Mei 19,2026 tumekuwa na kikao cha Viongozi wa vituo Chanika, Ilala Jijini Dar esSalaam, kujadili masuala mb...
19/05/2026

Leo Jumanne, Mei 19,2026 tumekuwa na kikao cha Viongozi wa vituo Chanika, Ilala Jijini Dar esSalaam, kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na sekta yetu ya usafirishaji pamoja na ajenda ya kampeni ya Usalama Barabarani inayoendeshwa na Azam Media kwa kushirikiana na CMPD

09/05/2026

Maafisa usafirishaji kwa rangi za Jacket zao tu utawatambua, Je, wewe uko upande wa rangi gani?

Maafisa usafirishaji kwenye kampeni ya Usalama Barabarani katika Viwanja vya Zhakiem wakiwa wamevalia sare za Jacket maa...
09/05/2026

Maafisa usafirishaji kwenye kampeni ya Usalama Barabarani katika Viwanja vya Zhakiem wakiwa wamevalia sare za Jacket maalum

09/05/2026

Tupo live

Viongozi wa CMPD kwenye kampeni ya Usalama Barabarani
09/05/2026

Viongozi wa CMPD kwenye kampeni ya Usalama Barabarani

Leo tunakiwasha hapa MbagalaKampeni kubwa ya Usalama barabarani kwa kushirikiana na
09/05/2026

Leo tunakiwasha hapa Mbagala
Kampeni kubwa ya Usalama barabarani kwa kushirikiana na

04/04/2026

Mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Mhe. Haran Sanga na Viongozi wa CMPD kata na Vituo

MBUNGE KIGAMBONI AAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUBORESHA USTAWI WA MAAFISA USAFIRISHAJIMbunge wa Jimbo la Kigamboni, ...
04/04/2026

MBUNGE KIGAMBONI AAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUBORESHA USTAWI WA MAAFISA USAFIRISHAJI

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Mhe. Haran Sanga ameahidi kuimarisha ushirikiano na maafisa usafirishaji kwa kufanya ziara za “mgundi kwa mgundi” ili kusikiliza na kutatua kero zao, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa kazi, kuimarisha usalama na kuboresha ustawi wa madereva wa pikipiki.

Akizungumza na maafisa usafirishaji wa Chama cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam (CMPD) katika mkutano uliofanyika Kigamboni, Jijini Dar es Salaam, Mhe. Sanga amesisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na kuepuka kujichukulia sheria mkononi, huku akihimiza ushirikiano katika masuala ya usalama.

Aidha, katika kuimarisha hali ya kifedha ya Maafisa Usafirishaji, ameagiza kuanzishwa kwa SACCOS ya chama hicho na kuchangia kiasi cha shilingi laki tano kwa ajili ya kufungua akaunti, hatua itakayowawezesha madereva kupata mikopo na huduma za kifedha kwa urahisi.

Sambamba na hilo, Mbunge huyo ametoa udhamini wa pikipiki za mkopo akishirikiana na kampuni ya ENERSCI LTD huku pia akiahidi kugharamia mafunzo ya udereva na leseni kwa viongozi wa maafisa usafirishaji ili kuongeza ufanisi na usalama katika sekta hiyo.

Kwa upande wake, Mbunge huyo ameendelea kusisitiza dhamira yake ya kufanya kazi kwa karibu na makundi mbalimbali, ikiwemo maafisa usafirishaji, katika kusikiliza na kutatua changamoto zao kabla na baada ya kuchaguliwa kwake, jambo linaloonyesha kujali na uwajibikaji kwa wananchi wa Kigamboni.

Address

Azikiwe Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255784562366

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CMPD Dar es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to CMPD Dar es Salaam:

Share