27/02/2026
Bodi ya wakurugenzi , Menejimenti ya PASADA pamoja na wafanyakazi, wanatoa salamu za pole kwa baba askofu mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi kwa msiba wa kifo cha mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyekuwa Askofu mkuu jimbo la Dar es salaam.