All Truth Nation

All Truth Nation for dominion and influence
of wisdom and revelation in the knowledge of Christ
in all things

13/12/2025
30/05/2025

KUAMINI DAMU YA YESU/IMANI KATIKA DAMU YA YESU.

IMANI ni kuwa na hakika juu ya kile Mungu amesema/amefanya kupitia neno lake.

MUNGU AMEFANYA NINI NA AMESEMA NINI?

Mungu ametushuhudia kwamba "alimtoa Mwana wake pekee akafa kwa ajili ya dhambi zetu kifo ambacho sisi ndio tulistahili milele, na Mungu akamfufua katika wafu ili sisi tuweze kuishi milele kwa njia ya yeye" (Yohana 3:16-18)

Mungu amefanya nini?
MUNGU ALIMTOA YESU KRISTO AFE KWA AJILI YA DHAMBI ZETU NA AKAMFUFUA ILI TUPATE KUHESABIWA HAKI (Warumi 4:25)

Hivyo KUAMINI DAMU YA YESU NI KUWA NA HAKIKA KWAMBA "YESU KRISTO ALITOLEWA AKAFA KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU ZOTE NA ALIFUFUKA KATIKA WAFU ILI NIWE NA MSAMAHA/HAKI", Hivyo "KRISTO ALIKUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU NA AKAFUFUKA KATIKA WAFU, NIMESAMEHEWA DHAMBI ZANGU ZOTE/NIMEHESABIWA HAKI KWA KUWA ALISHAFUFUKA KATIKA WAFU......NI KUKUBALIANA NA MUNGU KATIKA KILE AMESEMA/AMEFANYA KWAMBA NDIVYO ILIVYO BILA KUJALI UKUBWA NA WINGI WA DHAMBI NA MAKOSA YANGU.

17/02/2025

👍

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when All Truth Nation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share