02/09/2026
Shukrani za dhati kwa Pharmacy Council-Tanzania kwa ujio wenu katika chuo cha Kampala International University in Tanzania (KIUT) Kampala International University in Tanzania | KIUT mnamo tarehe 28 Agosti 2026.
Tunawashukuru kwa kutoa elimu elekezi na mwongozo muhimu kwa wahitimu wa Bachelor of Pharmacy (BPharm) Class of 2026 kuhusu utaratibu wa kujiunga na mafunzo ya utarajali (Internship) pamoja na miiko, maadili na wajibu wa kitaaluma katika taaluma ya Pharmacy.
Elimu na mwongozo wenu ni hatua muhimu katika kuwaandaa wahitimu kuingia katika ulimwengu wa taaluma wakiwa na uelewa, uwajibikaji na weledi unaostahili. ๐๐
Asanteni sana kwa mchango wenu katika kuendelea kujenga kizazi cha wataalamu bora wa Pharmacy nchini Tanzania. ๐น๐ฟ๐