Riwaya za Muddyb

Riwaya za Muddyb Huu ni ukurasa wa riwaya za Mohamed Lupinga (Muddyb Mwanaharakati). Hapa utapata taarifa zake zote.

Huyu rais wa mwisho ana asili ya kijiji chetu cha MAE. Ndiyo maana yupo hapo. MAE!
31/10/2024

Huyu rais wa mwisho ana asili ya kijiji chetu cha MAE. Ndiyo maana yupo hapo. MAE!

MAE!
30/10/2024

MAE!

Demu wake Gwamaka Mwamasage MAE! Duuh!
30/10/2024

Demu wake Gwamaka Mwamasage MAE!

Duuh!

Wazungu wa BUZA!
26/10/2024

Wazungu wa BUZA!

Kitindamimba. Hata k**a watasema bado lakini ndiyo cheo chako. Hakuna namna. Mpigaji watu kwa wale wanaomkera. Ananiitag...
25/10/2024

Kitindamimba. Hata k**a watasema bado lakini ndiyo cheo chako. Hakuna namna. Mpigaji watu kwa wale wanaomkera. Ananiitaga Baba Ibu. Tena kwa msisitizo kwelikweli. Akiita Baba, basi hamalizi sekunde anarudia tena palepale Baba Ibu.

Rahim Mohamed.

Leo ni siku inayofanana na siku uliyozaliwa. Tarehe 25 Oktoba, 2022. Umetimiza miaka miwili sasa.

Bodaboda masta!

Furahia siku yako bwa' mdogo!

Papa loves you!

(Pichani; Majid Pembe kushoto na Muddyb kulia, mnamo tarehe 29 Julai, 2023โ€”Vingunguti barabarani).MSIBA KIWALANI._______...
20/10/2024

(Pichani; Majid Pembe kushoto na Muddyb kulia, mnamo tarehe 29 Julai, 2023โ€”Vingunguti barabarani).

MSIBA KIWALANI.
____________________
Kiwalani ina wenyewe. Ukitaka kutaja wenyewe, huwezi kumuweka kando larger than life Majid the big Pembe katika kipengele hicho. Majid ni taswira ya upendo bila rika.

Nikiwa kijalunga, nilikuwa nikhimwona sana pale kwa Rehema Mgeni akipata masanga. Ni ndoa ya milele baina yao na masanga. Utamwita, ataitika ataulizia hali yako bila kujali umri wako. Pengine angejitenga na sisi vijana wadogo wa enzi hizo. Hapana! Hakuwa hivyo.

Majid ni mshikaji wa kila mtu. Mchizi fulani anayependeka. Simba mwana saaanaaa! Aliipenda hadi kuwa mwenyekiti wake. Pandikizi la baba. Kila ukimwona ananing'iniza tabasamu usoni pake. Aisee! Jamaa fulani hivi ambalo ukikaa nalo linatema madini.

Majid! Aaah mshikaji!

Vijana tulifurahi sana ulipoingia katika ulingo wa siasa. Enzi zako ukiwa mwenyekiti, ukilitimba wa pesa za barua ulikufa. Ulikufa jumla. Kila mmoja alipenda huduma yako. CHAUSTA! Majid k**a mwenyekiti. Hupishani sana Madenge wa Minazi Mirefu. Ni watu wenye upendo.

Ila sasa, wema kubaki duniani ni ahadi ambayo haiwezi kutekelezeka. Majid we mzee umeumwa na kufa ghafla. Matendo haya mawili yamefuatana upesi sana. Sisi wana Kiwalani tunalia sana kuondoka kwako. Bado tulihitaji upendo na ucheshi wako.

Majid daah! Majid weh!

RIP Big brother!

18/10/2024

Mariam Saula & the Gang! Nyie! ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ˆ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

MAE! Maruhani! Teh teh teh!
17/10/2024

MAE! Maruhani! Teh teh teh!

Kijana wangu! Super Molito Mtombangile Kitwango. Ikiwa unashangaa mtu amemaliza herufi zote za majina ya wanawake. Anzia...
16/10/2024

Kijana wangu! Super Molito Mtombangile Kitwango. Ikiwa unashangaa mtu amemaliza herufi zote za majina ya wanawake. Anzia ABCDEFG wote wamo. Halafu ikajirudia tena kwa majina mengine. MAE!

Hii zawadi ya miboksi ya maua ukimletea demu wa kibongo pigo hizo anakutupia nayo usoni. Labda k**a ni MZUNGU pori! Hapo...
15/10/2024

Hii zawadi ya miboksi ya maua ukimletea demu wa kibongo pigo hizo anakutupia nayo usoni. Labda k**a ni MZUNGU pori! Hapo aah! Atapokea na ving'ora vingi sana.. Wow wow wow! MAE!

Ku-advance attack! Ohooo!
15/10/2024

Ku-advance attack! Ohooo!

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255713538427

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Riwaya za Muddyb posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share